KIPYENGA CHA MWISHO 24/10/2024 | Osman Kazi aondoa utata wa maamuzi Kariakoo Derby
Mwamuzi mstaafu wa soka Osman Kazi ameondoa utata wa maamuzi kwenye matukio yaliyojiri kwenye mchezo wa NBC Premier League kati ya Simba SC dhidi ya Yanga SC uliopigwa Oktoba 19, 2024.