Goli pekee la super sub Andrew Simchimba limeipa Azam FC ushindi wa goli 1-0 dhidi ya JKT Tanzania katika mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara (VPL) uliopigwa kwenye Uwanja wa Jamhuri, Dodoma. Tazama Vodacom Premier League, taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
Wekundu wa Msimbazi Simba SC wamepata ushindi wa mabao 3-0 katika mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara uliopigwa kwenye Uwanja wa Jamhuri, Morogoro. Magoli ya Simba yamefungwa na John Bocco, Mohamed Hussein na Hassan Dilunga. Tazama Taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► http://play.google.com/store/apps/details… Tutuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
Wekundu wa Msimbazi Simba SC wamepata ushindi wa mabao 3-0 katika mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara uliopigwa kwenye Uwanja wa Jamhuri, Morogoro. Magoli ya Simba yamefungwa na John Bocco, Mohamed Hussein na Hassan Dilunga. Tazama Taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://play.google.com/store/apps/details?id=com.azamtv.max.media Tutuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
Mechi ya ligi kuu kati ya Tanzania Prisons vs KMC iliyokuwa ichezwe kwenye Uwanja Jamhuri Dodoma, baada ya uwanja huo kujaa maji kutokana na mvua kubwa iliyonyesha. Hii ni mechi ya pili kuahirishwa leo baada ya ile ya JKT Tanzania vs Polisi Tanzania kwenye Uwanja wa uhuru, sababu ikiwa ni hiyohiyo.
Ni mchezo wa ligi kuu soka Tanzania bara , Mtibwa Sugar ikifanikiwa kupata ushindi wa bao mbili kwa moja dhidi ya wagosi wa kaya Coastal Union kwenye mchezo uliochezwa kwenye dimba Jamhuri mkoani Morogoro. Huu unakuwa ni mchezo wa pili mfululizo Mtibwa wanashinda nyumbani baada ya kuanza vibaya msimu huu lakini kwa sasa wamebadilika na kurejea kwenye kiwango chao kilichozoeleka kutokana na ukongwe wao kwenye ligi. Mabao ya Mtibwa Sugar yalifungwa na Dickson Daud Mbekya na Jafar Kibaya wakati bao la kufutia machozi la Coastala Union likifungwa na Kibailo.
Mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara kati ya Simba na JKT Tanzania uliokuwa uchezwe leo kwenye Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro umeahirishwa kutokana na hali ya mvua ambayo imesababisha uwanja kujaa maji. Mchezo huo sasa utapangiwa tarehe nyingine. Katibu wa Chama cha Soka mkoa wa Morogoro Charles Mwakambaya anaeleza ni kwanini mechi hiyo haikupangwa kuchezwa kesho kama inavyoelekezwa na kanuni huku akieleza pia hatma ya mashabiki ambao tayari walishakata tiketi
DAKIKA 90 za mchezo wa Ligi Kuu kati ya Simba na Mbao zimekamilika uwanja wa Jamhuri, Morogoro, kwa Simba kuibuka na ushindi wa mabao 3-0. John Bocco alianza kufunga bao la kuongoza kwa Simba dakika ya 24 akimalizia faulo iliyopigwa na Mohamed Hussein. Bocco alipachika bao la pili kwa Simba kwa mkwaju wa penalti baada ya mchezaji wa Mbao FC, Peter Mwangosi kunawa mpira uliopigwa na Mzamiru Yassin dakika ya 58. Meddie Kagere alipachika bao la tatu kwa Simba baada ya beki wa Mbao kumchezea rafu Kagere eneo la hatari na mwamuzi kutoa penalti iliyopigwa na Kagere dakika ya 79.
Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars #SIMBASC imeendeleza furaha kwa mashabiki wake baada ya ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya #MbaoFC kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro. Ushindi huo uliotokana na mabao mawili ya Nahodha John Raphael Bocco na Mnyarwanda Meddie Kagere unaifanya Simba SC ifikishe pointi 57 baada ya kucheza mechi 22, lakini inabaki nafasi ya tatu nyuma ya Azam FC yenye pointi 59 na Yanga SC pointi 67 baada ya wote kucheza mechi 28. Bocco, mmoja wa wachezaji waliokuwemo kwenye kikosi cha Tanzania kilichokata tiketi ya Fainali za Kombe la Mataifa uya Afrika mwaka huu nchini Misri wiki iliyopita, alifunga bao la kwanza kwa kichwa dakika ya 25 akimalizia krosi ya beki wa kushoto Mohammed Hussein ‘Tshabalala’. Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/kidanistars