Timu ya Dodoma Jiji FC imepata ushindi wake wa pili mfululizo kwenye ligi kuu Tanzania Bara kwa kuichapa JKT Tanzania baoa 2-0, mchezo ukipigwa kwenye Uwanja wa Jamhuri Dodoma. Magoli ya Dodoma Jiji yamefungwa na Jamal Mtegeta pamoja na Dickson Ambundo. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
Mabingwa watetezi Simba SC leo wamelazimishwa sare ya bao 1-1 na Mtibwa Sugar kwenye Uwanja wa Jamhuri, Morogoro. Magoli yamefungwa na Mzamiru Yassin na Boban Zirintusa. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
Mabingwa watetezi Simba SC leo wamelazimishwa sare ya bao 1-1 na Mtibwa Sugar kwenye Uwanja wa Jamhuri, Morogoro. Fuatilia uchambuzi wa mchezo huo kutoka kwa Ally Mayay na Dominick Salamba. Matokeo ya mechi nyingine za leo ni:- JKT Tanzania 0-2 Dodoma Jiji FC KMC FC 2-1 Tanzania Prisons Mtimbwa Sugar 1-1 Simba SC Mambo yote LIVE #AzamSportsHD & #AzamSports2 Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
Harmonize - AfroEast Stream/Download: https://album.link/afroeast Subscribe for more official content from Harmonize: https://www.youtube.com/c/Harmonize255/ Follow Harmonize Instagram: https://www.instagram.com/harmonize_tz/ Twitter: https://twitter.com/harmonize_tz Facebook: https://web.facebook.com/Harmonize255 TikTok: https://vm.tiktok.com/JYFv7PN/ Listen to Harmonize YouTube: https://www.youtube.com/c/Harmonize255/ Audiomack: https://audiomack.com/harmonize Apple Music : https://music.apple.com/tz/artist/harmonize/81714549 Spotify : https://open.spotify.com/artist/1eCaedusgydlcn69blHOvL The official YouTube channel of Harmonize. Subscribe for the latest music videos, performances, and more. For Bookings & More Email: Harmonizemanagement@gmail.com Call: +255 752 222 442, +255 658 135 762 #Harmonize #Jamhuri #Kondegang
ISHU ya MORRISON, TSHISHIMBI YANGA, KUNA SHIMO MBELE - SALEH JEMBE GUMZO sasa ni kuhusiana na nahodha wa Yanga Papy Tshishimbi raia wa jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC). Yanga wamempa siku 14 ambazo imeelezwa zitaishia Jumatano ijayo kwamba yuko tayari kusajili au la. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline
Adeyum Saleh ameisawazishia Yanga kwa bao la maajabu dakika ya 83 na kufanya Wananchi wapate sare ya bao 1-1 dhidi ya Mtibwa Sugar. Ni katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliochezwa kwenye Dimba la Jamhuri, Morogoro. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
Leo zinapigwa mechi tano za Ligi Kuu Tanzania Bara (VPL), kubwa ikiwa ni Mtibwa Sugar vs Yanga SC kwenye Uwanja wa Jamhuri, Morogoro. Ahmed Ally yuko studio na wachambuzi James Samwel na Ally Kamwe kwa ajili ya uchambuzi kuelekea mechi hizo. Mechi nyingine ni Mbao vs Namungo, KMC vs Prisons, Mwadui vs Biashara, na Singida vs Kagera. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz