Mechi ya ligi kuu kati ya Tanzania Prisons vs KMC iliyokuwa ichezwe kwenye Uwanja Jamhuri Dodoma, baada ya uwanja huo kujaa maji kutokana na mvua kubwa iliyonyesha. Hii ni mechi ya pili kuahirishwa leo baada ya ile ya JKT Tanzania vs Polisi Tanzania kwenye Uwanja wa uhuru, sababu ikiwa ni hiyohiyo.