#SimbaSC Vs MbaoFC Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars DAKIKA 90 za mchezo wa Ligi Kuu kati ya Simba na Mbao zimekamilika uwanja wa Jamhuri, Morogoro, kwa Simba kuibuka na ushindi wa mabao 3-0. John Bocco alianza kufunga bao la kuongoza kwa Simba dakika ya 24 akimalizia faulo iliyopigwa na Mohamed Hussein. Bocco alipachika bao la pili kwa Simba kwa mkwaju wa penalti baada ya mchezaji wa Mbao FC, Peter Mwangosi kunawa mpira uliopigwa na Mzamiru Yassin dakika ya 58. Meddie Kagere alipachika bao la tatu kwa Simba baada ya beki wa Mbao kumchezea rafu Kagere eneo la hatari na mwamuzi kutoa penalti iliyopigwa na Kagere dakika ya 79. Simba leo wameanzisha jeshi lao kamili huku mlinda mlango namba moja Aishi Manula akiwa ameanzia benchi akimtazama Deogratius Munish. Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/kidanistars
Timu ya Malindi imepata ushindi wake wa kwanza kwenye michuano ya Kombe la Mapinduzi inayoendelea visiwani Zanzibar kwa kuifunga Jamhuri mabao 2-0 katika mchezo uliopigwa kwenye Dimba la Amaan. Mabao ya Malindi yamefungwa na Abdulswamad Ali dakika ya 17 na Juma Hamad dakika ya 62.
Timu ya Malindi imepata ushindi wake wa kwanza kwenye michuano ya Kombe la Mapinduzi inayoendelea visiwani Zanzibar kwa kuifunga Jamhuri mabao 2-0 katika mchezo uliopigwa kwenye Dimba la Amaan. Mabao ya Malindi yamefungwa na Abdulswamad Ali dakika ya 17 na Juma Hamad dakika ya 62.
HIGHLIGHT Simba VS Kagera Sugar 1- 0 RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk, John Pombe Joseph Magufuli amewakabidhi Kombe la ubingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara Simba SC wakitoka kufungwa 1-0 na Kagera Sugar jioni ya leo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Na kabla ya kuwakabidhi Kombe hilo, Rais Magufuli akawaambia Simba SC hajaridhishwa na kiwango cha mchezo wao na akawataka wakakiboreshe kuelekea kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika mwakani. Pamoja na hayo, Rais Magufuli amewapongeza Simb SC kwa kufikia kutwaa la ubingwa wa Ligi Kuu bila ya kupoteza mechi kabla ya kufungwa na Kagera leo. http://apple.co/2Assf4M Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi1 kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari INSTAGRAM: https://www.instagram.com/globalpubli..
Mechi imemalizika kwa ushindi mwembamba upande wa Simba licha ya kushambuliwa zaidi hasa dakika za mwisho kipindi cha pili. Mshambuliaji wa Simba Emmanuel Okwi ameifungia timu yake bao pekee la ushindi dhidi ya Mtibwa Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara ukipigwa katika dimba la Jamhuri, Morogoro. Katika mchezo huo mgumu na uliokuwa na ushindani mkali, bao la Simba lilipatikana dakika ya 24 ambapo kinara huyo wa mabao aliunganisha pasi ya kichwa ya kutoka kwa John Bocco, baada ya kros ya Shiza Kichuya kutoka upande wa kushoto. Baada ya mchezo huo umati mkubwa ulionekana kujaa katikati ya dimba. Mchezo ulivyokuwa....
GOLI la Okwi Lililoipatia Simba Ushindi, Simba 1- 0 Mtibwa Sugar Simba SC imeendelea kujikusanyia alama katika Ligi Kuu Bara baada ya kuilaza Mtibwa Sugar FC kwa bao 1-0 jioni hii kwenye Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro. Mchezo huo uliokuwa unaambatana na mvua iliyokuwa ikinyesha Uwanjani, ulishuhudiwa nyavu zikitikiswa mnamo dakika ya 24 ya kipindi cha kwanza na Emmanuel Okwi. Okwi alifunga bao hilo akimalizia kazi mpira wa kichwa kutoka kwa John Bocco na kufanya mchezo huo udumu kwa dakika zote 90 huku matokeo yakisalia kuwa 1-0. Matokeo hayo yanaifanya Simba izidi kujikita kileleni kwa kufikisha alama 52 dhidi ya watani wao wa jadi Yanga wenye 46 mpaka sasa. Mechi inayofuatia kwa Simba itakuwa dhidi ya Wajelajela Mbeya City FC, itakayopigwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Install #GlobalPublishersApp Android: http://bit.ly/2AAQe1d iOS: http://apple.co/2Assf4M Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi1 kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER
Mshambuliaji wa Simba Emmanuel Okwi ameifungia timu yake bao pekee dhidi ya Mtibwa Sugar katika mchezo wa ligi Kuu Tanzania Bara ukipigwa katika dimba la Jamhuri, Morogoro.