Jiji linazizima Leo!! Ni Dar Es Salaam Derby inayowakutanisha Watoto wa Jangwani, Mabingwa watetezi wa ligi kuu ya NBC Yanga Sc dhidi ya Wazee wa Pira Ice cream, Pira Iriza,Pira Strawberry na Mautamu yote unayoyajua,Azam Fc, Katika Uwanja Wa Benjamini Mkapa. . Mpenja Tv tunakuletea Matukio yote yanayoendelea kwenye mbungi hili. . Fungua video hii upate uhabarike.
Leo Septemba 4 2022 Bondia Mtanzania Hassan Mwakinyo amepoteza pambano lake dhidi ya Liam Smith wa England katika ukumbi wa B&S Arena jijini Liverpool. . Mpenja Tv tunakuletea Habari za Uchambuzi wa Pambano hilo. . Fungua video hii kuhabarika.
Leo Tarehe 27/8/2022 ni Mtanange wa Fainali ya michuano ya kufuzu Ligi ya Mabingwa Afrika kwa Wanawake ukanda wa CECAFA kati ya Simba Queens dhidi ya She Corporates kutoka Uganda, Mchezo Unaochezwa Uwanja wa Azam Complex Chamazi, Saa Moja Usiku.
Leo Agust 26 2022 Mpenja Tv tunakuletea Mahojiano na Mchezaji wa Simba Queens Vivian Quorazone kuhusu maisha yake ya Soka akiwa Simba Queens. . Fungua video hii umsikie vizuri kiungo huyu.
Leo Agosti 22 2022 Mpenja Tv tunakuletea mahojiano na Straika wa Yanga SC, Fiston Kalala Mayele na Shabiki wa Yanga ambaye anafanana naye anayejulikana kwa jina la Issa Mohammed kutoka Tabora maarufu Mayele wa Mchongo. Fungua Video hii kusikia walichozungumza. #FistonMayele #MayeleWaMchongo #MpenjaTV
Kocha Mkuu wa Coastal Union, Juma Mgunda na Nahodha Nimubona Emery Wamezungumza Namna Walivyojiandaa Kumenyana na Yanga Sc kwenye Mchezo wa ligi kuu ya NBC, Utakaochezwa Kesho Jumamosi, Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha, Saa Kumi Jioni.
Leo August 13, 2022 Unapigwa Mchezo Wa Ngao Ya Jamii Baina ya Watani wa Jadi wa Soka la Tanzania Yanga Na Simba Mechi Inayochezwa Uwanja Wa Benjamin Mkapa Dar es Salaam MpenjaTV Imefika Na kukita Kambi Katika Viunga Vya Dimba la Benjamin Mkapa Kukuletea Kila Tone la Jambo linachomoza kutoka Hapa #MpenjaTv
Leo Agosti 4 2022 Mpenja Tv Tumezungumza na Msemaji wa Simba Sports Club Ahmed Ally kuhusu kuachwa kwa Wachezaji wao watatu ambao ni Meddie Kagere, Chriss Mugalu na Taddeo Lwanga. . Ahmed Ally amefunguka mengi ndani ya Mahojiano haya. . Fungua video hii kupata uhondo wote wa Mahojiano haya. .