HAPA NDIPO ALIPOFELI HASSAN MWAKINYO/SIKIA SHERIA ZINASEMAJE?/MSIKIE REFARII EMMANUEL MLUNDWA
Leo Septemba 4 2022 Bondia Mtanzania Hassan Mwakinyo amepoteza pambano lake dhidi ya Liam Smith wa England katika ukumbi wa B&S Arena jijini Liverpool.
.
Mpenja Tv tunakuletea Habari za Uchambuzi wa Pambano hilo.
.
Fungua video hii kuhabarika.