Content removal request!


USO KWA USO MAYELE AKUTANA NA PACHA WAKE/AAHIDI KUMPA ZAWADI KUBWA/PACHA WA MAYELE APAGAWA/UPENDO TU

Leo Agosti 22 2022 Mpenja Tv tunakuletea mahojiano na Straika wa Yanga SC, Fiston Kalala Mayele na Shabiki wa Yanga ambaye anafanana naye anayejulikana kwa jina la Issa Mohammed kutoka Tabora maarufu Mayele wa Mchongo. Fungua Video hii kusikia walichozungumza. #FistonMayele #MayeleWaMchongo #MpenjaTV