MIKWARA YA KOCHA MGUNDA/ KUREJEA KWA VICTOR AKPAN COASTAL/ TUMEJIPANGA DHIDI YA YANGA SC..
Kocha Mkuu wa Coastal Union, Juma Mgunda na Nahodha Nimubona Emery Wamezungumza Namna Walivyojiandaa Kumenyana na Yanga Sc kwenye Mchezo wa ligi kuu ya NBC, Utakaochezwa Kesho Jumamosi, Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha, Saa Kumi Jioni.