Content removal request!


KWANINI SIMBA WAMEACHANA NA KAGERE, MUGALU NA LWANGA?/MSIKIE SEMAJI AHMED ALLY AKIELEZA.

Leo Agosti 4 2022 Mpenja Tv Tumezungumza na Msemaji wa Simba Sports Club Ahmed Ally kuhusu kuachwa kwa Wachezaji wao watatu ambao ni Meddie Kagere, Chriss Mugalu na Taddeo Lwanga. . Ahmed Ally amefunguka mengi ndani ya Mahojiano haya. . Fungua video hii kupata uhondo wote wa Mahojiano haya. .