Singida BS imefanya 'come-back' na kushinda 4-2 dhidi ya Azam FC baada ya kutanguliwa 2-0, katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC uliopigwa kwenye Dimba la Azam Complex, Chamazi. Azam wametangulia kupata magoli yao kupitia kwa Feisal Salum Feitoto kwa penati, na Zidane Sereri, lakini Singida wakaanza kuyalipa kupitia kwa Emmanuel Keyekeh, James Mwashinga na Jonathan Sowah aliyefunga mawili ya mwisho. Singida BS pia walikosa penati iliyopigwa na Emmanuel Keyekeh na kuokolewa na golikipa Zuberi Foba. Tazama magoli yote na penati ...
Cheikh Ibrahim Toure na Peter Shalulile wametikisa nyavu za Polisi Tanzania wakiipa Yanga ushindi wa 2-0 kwenye Dimba la Ushirika, Moshi. Hii ni Ligi Kuu ya NBC. Tazama magoli...
VITA YA MKANDA: Ni Twaha Kiduku amliyemkalisha mpinzani wake, Anthony Banda kwa KO. Tanzania juu….Malawi hoi…!!! Burudani ilikuwa LIVE #AzamSports5HD ✍️ @katty_shirima Mhariri | @rajjmsangi #VitasaNight #UsikuWaVitasa #VitaYaMkanda #Ngumi #IbrahimClass #AranDipaen
Ilikuwa ni funga nikufunge, Simba ikitangulia, kisha kutokea nyuma na kushinda mechi dhidi ya Namungo FC, mchezo ukipigwa kwenye Dimba la Uhuru Dar es Salaam. Anicet Oura amefunga mawili huku lingine likifungwa na Rushine de Reuck kwa penati wakati magoli mawili ya Namungo yakitoka kwa Raymond Lulendi.
Ilikuwa ni funga nikufunge, Simba ikitangulia, kisha kutokea nyuma na kushinda mechi dhidi ya Namungo FC, mchezo ukipigwa kwenye Dimba la Uhuru Dar es Salaam. Anicet Oura amefunga mawili huku lingine likifungwa na Rushine de Reuck kwa penati wakati magoli mawili ya Namungo yakitoka kwa Raymond Lulendi. Tazama magoli yote matano...
#NBCPL Chuma zote nne hizi hapa.! FT: Yanga SC 4-0 Kagera Sugar Uchambuzi unaendelea LIVE #AzamSports1HD #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPLUpdates #ImenogaZaidi #YangaSCVSKageraSugar #YangaSC
VITASA NIGHT: Tazama ndonga za Mandonga kwa raundi nne dhidi ya Michael Williams kutoka Canada. Kuna wakati wamelamba sakafu wote wawili kwa wakati mmoja, sijui ni nani aliyemuangusha mwenzake…!!! Mbwembwe na burudani baada ya kukamilika kwa raundi nne, siyo habari tena…!!! Mshindi ni Karim Mandonga kwa pointi Hii ni Boxing In Paradise inayopigwa Paje, Zanzibar Pambano kuu lilikuwa ni Harry Mkacha kutoka Malawi dhidi ya Mtanzania, Hamis Magazeti