VITA YA MKANDA:  Vita ni ya Twaha Kiduku dhidi ya  Anthony Banda
VITA YA MKANDA: Vita ni ya Twaha Kiduku dhidi ya Anthony Banda

VITA YA MKANDA: Ni Twaha Kiduku amliyemkalisha mpinzani wake, Anthony Banda kwa KO. Tanzania juu….Malawi hoi…!!! Burudani ilikuwa LIVE #AzamSports5HD ✍️ @katty_shirima Mhariri | @rajjmsangi #VitasaNight #UsikuWaVitasa #VitaYaMkanda #Ngumi #IbrahimClass #AranDipaen



MANARA AFUNGUKA MAZITO BAADA YA YANGA KUICHAPA TANZANIA PRISON GOLI 4-0 | WACHEZAJI WETU WANAJITUMA
MANARA AFUNGUKA MAZITO BAADA YA YANGA KUICHAPA TANZANIA PRISON GOLI 4-0 | WACHEZAJI WETU WANAJITUMA

HAJI MANARA AKASIRISHWA NA KAULI ZA ASKALI MAGEREZA WAKATI WA KUTOKA KMC COMPEX WAPIGANA MIKWALA NUSU WAZICHAPE NGUMI #manaratv #hajimanara #hajimanara #yangasc



Mike Tyson Amtahadharisha Mwanawe: 'Huoni Maisha Magumu ya Ndondi! #shortsfeed
Mike Tyson Amtahadharisha Mwanawe: 'Huoni Maisha Magumu ya Ndondi! #shortsfeed

Mtoto wa bondia maarufu Mike Tyson alimwambia baba yake kwamba anatamani kuwa mpiganaji kama yeye, lakini majibu ya Tyson yalikuwa ya kushangaza sana. Katika video hii, tunaangazia mazungumzo hayo ya kipekee ambapo Tyson anamshauri mwanawe juu ya changamoto za kuwa bondia na jinsi maisha yake ya magumu yalivyomfanya awe na nguvu za kustahimili. Tyson anafafanua sababu anayotaka mwanawe asijihusishe na mchezo wa ngumi, huku akisema alifanya yote kwa ajili ya kumuwekea maisha bora. Je, unadhani Tyson alifanya maamuzi sahihi kumzuia mwanawe kuwa bondia? Au angemuacha afuate nyayo zake? Niachie maoni yako kwenye sehemu ya comment. #miketyson #celebritynews #lifestyle #shortsfeed #shorts



PATRICK NYEMBERA Afafanua UTATA PAMBANO la MWAKINYO, Kupigwa STOP na KURUHUSIWA, KOSA la PROMOTA..
PATRICK NYEMBERA Afafanua UTATA PAMBANO la MWAKINYO, Kupigwa STOP na KURUHUSIWA, KOSA la PROMOTA..

PATRICK NYEMBERA Afafanua UTATA PAMBANO la MWAKINYO, Kupigwa STOP na KURUHUSIWA, KOSA la PROMOTA.. MJUMBE wa kamati ya TPBRC, Patrick Nyembera amezungumzia masuala mbalimbali kuhusiana na mchezo wa ngumi.




Next »


Popular Tags

#Russell Westbrook  #Best Football Defending Skills  #Zlatan Ibrahimovi  #Best Goals  #Football Defensive Skills  #Manuel Neuer  #Goal Celebrations  #Stephen Curry  #Football Skills  #New York Knicks  

Popular Users

#katzm  #TheRock  #nytimes  #themichaelowen  #BillGates  #DjokerNole  #SrBachchan  #JayBilas  #BrunoMars  #DeAndre  #JasonDufner  #billbarnwell  #cnnbrk  #Ky1eLong