#CAFCL “Warabu watakwenda kuitapika Benjamin Mkapa” maneno ya Meneja Habari na Mawasiliano wa Yanga SC, Ally Kamwe akiuzungumzia mchezo wao wa Januari 18, 2025 ndani ya dimba la Benjamin Mkapa dhidi ya MC Alger. Ni mchezo wa mwisho kwa timu zote mbili katika hatua ya makundi ya Ligi Mabingwa Afrika (CAFCL) huku akiwaita mashabiki kubeba vichinjio vyao. Yanga jana Jumapili ilishinda kwa goli 1-0 dhidi ya Al Hilal ya Sudan na kufikisha alama saba huku MC Alger ikiwa na alama nane. Mdchi hiyo utaishuhudia LIVE #AzamSports1HD #AzamSports1HD #YangaSafarini #YangaMauritania #AlHilal #YangaSC #AlHilalYanga #CAFCL #CAFChampionsLeague
Timu ya Yanga Veteran imefanikiwa kuwa mabingwa wa Ngao ya Jamii ya Ligi ya Maveterani Tanzania #TanzaniaVeteranLeague (TVL) baada ya kuichapa Simba Veteran kwa penati 4-2, kufuatia suluhu ndani ya dakika 90. Mechi imepigwa kwenye Dimba la KMC, Mwange Dar es Salaam...
Waandishi wa habari waandamizi wa nchini Tunisia, Umaima Jubeli kutoka Radio Express FM na Hosni Gharbi wa Tunisia Press Agency waimwagia sifa Simba SC kuelekea mechi ya leo dhidi ya CS Sfaxien ya nchini humo. Ni mechi ya Kombe la Shirikisho Afrika na itapigwa leo Jumapili ya Januari 5, 2025 saa 1:00 usiku LIVE #AzamSports1HD #SimbaSC #CSSfaxien #CAFCC #SimbaTunisia
Yanga imekuwa timu ya kwanza kushinda 5-0 kwenye ligi kuu msimu huu, wakiwachakaza Fountain Gate FC kwenye Dimba la KMC Complex, Dar es Salaam. Magoli ya Yanga yamefungwa na Pacome Zouzoua aliyefunga mawili, Mudathir Yahya, Jackson Shiga aliyejifunga na Clement Mzize dakika ya 88. haya hapa magoli yote...
Fabrice Ngoma amefunga goli pekee na la ushindi, Simba ikiitandika Singida Black Stars bao 1-0 nyumbani kwao kwenye Dimba la Liti.... Hii ni Ligi Kuu ya NBC #NBCPremierLeague
Goli pekee la mkwaju wa penati dakika za nyongeza limeipa Simba alama tatu muhimu kwa ushindi wa bao 1-0 dhidi ya JKT Tanzania, mchezo ukipigwa kwenye Dimba la KMC Complex, Mwenge Dar es Salaam. Mfungaji wa goli ni Jean Charles Ahoua....