Kagera Sugar imeikaba koo Namungo FC na kuilazimisha sare ya bao 1-1 katika mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara uliochezwa leo kwenye Dimba la Ilulu mkoani Lindi. namungo wametangulia kupitia kwa Reliants Lusajo, lakini Kagera wakachomoa kupitia kwa Mbaraka Yusuph. Haya hapa magoli yote. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
Crispin Ngushi ameifungia Mbeya Kwanza magoli mawili, moja likiwa la tikitaka na kufanya mechi yao dhidi ya Mbeya City (Mbeya Derby) imalizike kwa sare ya mabao 2-2. Mbeya City ndiyo waliotangulia kupata magoli yao kupitia kwa Paul Nonga na Richard Ng'ondya kabla ya Mbeya Kwanza kuongeza nguvu na kuchomoa magoli yote mawili kupitia kwa Crispin Ngushi aliyetokea benchi. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
Timu za Mtibwa Sugar na Tanzania Prisons zimetoka sare ya bila goli katika mchezo wa ligi kuu Tanzania bara uliochezwa kwenye Dimba la Uhuru, dar es Salaam. Tazama highlights kuona kwa ufupi jinsi mambo yalivyokuwa. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
Crispin Ngushi ameifungia Mbeya Kwanza magoli mawili, moja likiwa la tikitaka na kufanya mechi yao dhidi ya Mbeya City (Mbeya Derby) imalizike kwa sare ya mabao 2-2. Mbeya City ndiyo waliotangulia kupata magoli yao kupitia kwa Paul Nonga na Richard Ng'ondya kabla ya Mbeya Kwanza kuongeza nguvu na kuchomoa magoli yote mawili kupitia kwa Crispin Ngushi aliyetokea benchi. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
Jesus Moloko amefungua akaunti ya magoli ndani ya Yanga akiitungua Geita Gold kwa Mkapa na kuipa ushindi wa goli 1-0 katika mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara. Tazama highlights. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
Azam FC wamekula mweleka kwenye uwanja wa Ushirika mjini Moshi kwa kichapo cha mabao 2-1 kutoka kwa Polisi Tanzania katika mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara. Magoli ya Polisi yamefungwa na Kassim Shaban pamoja na Adam Adam wakati Azam wakipata bao kupitia kwa Idd Seleman .Nado'. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
Mabingwa watetezi wa ligi kuu Tanzania Bara, Simba SC leo wamepata ushindi wao wa kwanza msimu huu baada ya mechi mbili, wakiwatandika Dodoma Jiji bao 1-0. Goli pekee la Simba limefungwa na Medie Kagere dakika ya 69. Katika mchezo huu pia, Dodoma Jiji wamepata pigo baada ya mshambuliaji wake Anuary Jabir kutolewa kwa kadi nyekundu dakika ya 45. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz