Magoli, penati na kadi nyekundu | Yanga 3-1 Ruvu Shooting | NBC Premier League 02/11/2021
Magoli, penati na kadi nyekundu | Yanga 3-1 Ruvu Shooting | NBC Premier League 02/11/2021

YANGA VS RUVU SHOOTING: Yanga SC imeendeleza undava kwenye ligi kuu ya NBC Tanzania Bara kwa kuitandika Ruvu Shooting mabao 3-1 , mchezo ukipigwa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa. Magoli ya Yanga yamefungwa na Feisal Salum, Djuma Shaaban na Mukoko Tomombe wakati Ruvu wakitangulia kwa goli la Shaaban Msala. Katika mchezo huu, Ruvu walipata pigo baada ya nahodha wao Santos Mazengo kutolewa kwa kadi nyekundu dakika ya 28. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz



Tazama magoli ya Yanga ikiitandika Azam FC 2-0 NBC Premier League 30/10/2021
Tazama magoli ya Yanga ikiitandika Azam FC 2-0 NBC Premier League 30/10/2021

Yanga SC imeichapa Azam FC mabao 2-0 katika mchezo wa ligi kuu ya NBC Tanzania Bara uliopigwa kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Magoli ya Yanga yametoka kwa Wakomani Fiston Mayele na Jesus Moloko. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz



Simba 1-0 Polisi Tanzania | Highlights | NBC Premier League
Simba 1-0 Polisi Tanzania | Highlights | NBC Premier League

Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz



Geita Gold FC 1-1 Mbeya City | Highlights | NBC Premier League 23/10/2021
Geita Gold FC 1-1 Mbeya City | Highlights | NBC Premier League 23/10/2021

Tazama highlights, Geita Gold FC walivyobanwa mbavu na Mbeya City kwenye Uwanja wa Nyankumbu mjini Geita na kutoka sare ya bao 1-1. Mbeya City walitangulia kwa goli la Juma Luizio na kisha Geita kusawazisha kupitia kwa super sub, George Mpole. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz



Dodoma Jiji 2-1 Tanzania Prisons | Highlights | NBC Premier League 24/10/2021
Dodoma Jiji 2-1 Tanzania Prisons | Highlights | NBC Premier League 24/10/2021

HISTORIA IMEANDIKWA DODOMA Ni historia tangu kuzaliwa kwa taifa la Tanzania mechi ya ligi kuu kuoneshwa usiku kutoka jijini Dodoma baada ya Uwanja wa Jamhuri kuwekwa taa. Ilikuwa ni Dar es Salaam na Zanzibar pekee ambako kuna viwanja vyenye taa zinazofaa kuonesha mpira ‘LIVE’ wakati wa usiku, lakini kuanzia sasa, Dodoma nayo imeongezeka ikiwa ni kwa udhamini wa Azam TV. Mechi ya kwanza kabisa kuwa sehemu ya historia hii imewakutanisha wenyeji Dodoma Jiji FC dhidi ya Tanzania Prisons kutoka mkoani Rukwa na kushuhudia ‘Wajelajela’ wakiliwa kwa kichapo cha mabao 2-1. Azam TV imezidi kuongeza wigo wa burudani ya soka kwenye TV kwa nyakati tofauti usiku na mchana na huu ni mwanzo tu. Magoli ya Dodoma Jiji yamefungwa na Khamis Mcha kwa penati pamoja na Emmanuel Martin wakati Tanzania Prisons walianza kupata bao kupitia kwa Jeremiah Juma. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz



Magoli | Dodoma Jiji 2-1 Tanzania Prisons | NBCPL 24/10/2021
Magoli | Dodoma Jiji 2-1 Tanzania Prisons | NBCPL 24/10/2021

Tazama magoli yote matatu, Dodoma Jiji wakipata ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Wajelajela Tanzania Prisons katika mchezo wa kihistoria uliochezwa usiku wa Oktoba 24, 2021. Ilikuwa ni kwa mara ya kwanza mechi ya ligi kuu kurushwa LIVE usiku kutoka katika viwanja vilivyo nje ya Dar es Salaam na Zanzibar. Magoli ya Dodoma yalifungwa na Khamis Mcha na Emmanuel Martin wakati goli la Prisons likifungwa na Jeremiah Juma. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz



Magoli | Simba 1-3 Jwaneng Galaxy |  CAF CL 24/10/2021
Magoli | Simba 1-3 Jwaneng Galaxy | CAF CL 24/10/2021

Mabingwa wa Tanzania, Simba SC wametupwa nje ya michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika #CAFCL baada ya kuchapwa mabao 3-1 na Jwaneng Galaxy ya Botswana katika mchezo wa marudiano uliopigwa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Licha ya matokeo ya jumla kuwa 3-3, lakini Simba wanaondoka kwa faida ya goli la ugenini na Jwaneng wanaingia hatua ya makundi. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz



Namungo FC 1-1 Kagera Sugar | Highlights | TPL 04/10/2021
Namungo FC 1-1 Kagera Sugar | Highlights | TPL 04/10/2021

Kagera Sugar imeikaba koo Namungo FC na kuilazimisha sare ya bao 1-1 katika mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara uliochezwa leo kwenye Dimba la Ilulu mkoani Lindi. namungo wametangulia kupitia kwa Reliants Lusajo, lakini Kagera wakachomoa kupitia kwa Mbaraka Yusuph. Haya hapa magoli yote. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz




« Previous Next »


Popular Tags

#Football Defensive Skills  #Boston Celtics  #Football Skills  #Gareth Bale  #Chris Paul  #Best Football Defending Skills  #Best Champions League  #Neymar  #Best Goals Ever  #Paul Pogba  

Popular Users

#serenawilliams  #RobbieSavage8  #ddlovato  #justinbieber  #OleksiakPenny  #YouTube  #billsimmons  #StephenCurry30  #TheEllenShow  #geniebouchard  #rihanna  #cesc4official  #DeAndre  #TheRock