Mabingwa watetezi wa ligi kuu Tanzania Bara, Simba SC leo wamepata ushindi wao wa kwanza msimu huu baada ya mechi mbili, wakiwatandika Dodoma Jiji bao 1-0. Goli pekee la Simba limefungwa na Medie Kagere dakika ya 69. Katika mchezo huu pia, Dodoma Jiji wamepata pigo baada ya mshambuliaji wake Anuary Jabir kutolewa kwa kadi nyekundu dakika ya 45. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz