Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
Feisal Salum 'Feitoto' amefunga goli pekee kwa Yanga na kuipa ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Kagera Sugar, katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliochezwa leo kwenye Uwanja wa Kaitaba, Bukoba. Tazama bao kenyewe. #Feitoto #YangaSC #KageraSugar Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
Simba SC wamelazimishwa suluhu na Biashara United katika mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara uliochezwa kwenye Uwanja wa Karume, mjini Musoma. Katika mchezo huo Simba walipata penati katika dakika za nyongeza lakini golikipa James Ssetuba akafanikiwa kupangua penati ya nahodha wa Simba, John Bocco. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
Azam FC wamebanwa mbavu na Coastal Union katika mchezo wao wa kwanza wa ligi kuu Tanzania Bara uliochezwa kwenye Uwanja wa Mkwakwani, jijini Tanga. Azam wametangulia kwa kichwa cha Daniel Amoah na Coastal kusawazisha dakika za majeruhi kupitia kwa Hance Masoud. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
Goli pekee la Cleophace Mkandala limeipa Dodoma Jiji ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Ruvu Shooting, katika mchezo wake wa kwanza wa msimu kwenye Dimba la Jamhuri, Dodoma. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
Goli pekee la Cleophace Mkandala limeipa Dodoma Jiji ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Ruvu Shooting, katika mchezo wake wa kwanza wa msimu kwenye Dimba la Jamhuri, Dodoma. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz
Timu ya Mbeya Kwanza iliyopanda daraja msimu huu, imekuwa ya kwanza kufunga goli msimu huu wa 2021/22 kupitia kwa William Edgar na kupata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Mtibwa Sugar, mechi ikipigwa kwenye Uwanja wa Mabatini, mkoani Pwani. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz