Highlights | Mtibwa Sugar 0-0 Tanzania Prisons | TPL 03/10/2021.. for Mtibwa Sugar - Tanzania Prisons game - Post Details

Highlights | Mtibwa Sugar 0-0 Tanzania Prisons | TPL 03/10/2021

Timu za Mtibwa Sugar na Tanzania Prisons zimetoka sare ya bila goli katika mchezo wa ligi kuu Tanzania bara uliochezwa kwenye Dimba la Uhuru, dar es ...

Similar Posts!

Mtibwa Sugar 0-0 T. Prisons #TPL HIGHILIGHTS 2021-22
Mtibwa Sugar 0-0 T. Prisons #TPL HIGHILIGHTS 2021-22

Mchezo wa pili ligi kuu ya Tanzania Bara msimu wa 2021-22 tukicheza na Tanzania Prisons katika uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam na mchezo kuisha kwa ...

#LIVE:  MTIBWA SUGAR FC VS TANZANIA PRISONS SC(0-0) LIGI KUU TANZANIA BARA
#LIVE: MTIBWA SUGAR FC VS TANZANIA PRISONS SC(0-0) LIGI KUU TANZANIA BARA

LIVE: MTIBWA SUGAR FC VS TANZANIA PRISONS SC(0-0) LIGI KUU TANZANIA BARA ............................................................................................... yanga sc leo ...

Simba SC 2-0 Tabora United | Highlights | NBC Premier League 06/05/2024
Simba SC 2-0 Tabora United | Highlights | NBC Premier League 06/05/2024

Simba SC imepata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Tabora United katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania bara uliopigwa leo kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamazi. Magoli ya Simba yametoka kwa Sadio Kanoute dakika ya 19 na Edwin Balua dakika ya 77.

Mashujaa FC 0 -1 Yanga SC | Highlights | NBC Premier League 05/05/2024
Mashujaa FC 0 -1 Yanga SC | Highlights | NBC Premier League 05/05/2024

Goli pekee kutoka kwa Joseph Guede limeipa yanga ushindi wa 1-0 dhidi ya Mashujaa FC ugenini kwenye Dimba la Lake Tanganyika Kigoma, mchezo wa Ligi Kuu ya NBC. Tazama highlights....

Yanga SC 3-0 Tabora United | Highlights | CRDB Bank Federation Cup 01/05/2024
Yanga SC 3-0 Tabora United | Highlights | CRDB Bank Federation Cup 01/05/2024

Mabingwa watetezi, Yanga SC wametinga nusu fainali ya #CRDBBankFederationCup kwa kuibutua Tabora United mabao 3-0 kwenye Dimba la Azam Complex, Chamazi. Magoli ya Yanga yametoka kwa Stephane Aziz ki dakika ya 35, Kennedy Musonda dakika ya 66 na Joseph Guede dakika ya 82.

Magoli | Namungo FC  2-2 Simba SC | NBC Premier League 30/04/2024
Magoli | Namungo FC 2-2 Simba SC | NBC Premier League 30/04/2024

Goli la kujifunga dakika za jioooooooooooooooni limewapa Namungo FC sare ya mabao 2-2 dhidi ya Simba kwenye Dimba la Majaliwa, Lindi, ukiwa ni mchezo wa Ligi Kuu ya NBC..... Simba walitangulia kwa goli la Willy Onana dakika ya 34 kabla ya Namungo kusawazisha dakika ya 39 kupitia kwa Kelvin Kongwe Sabato, na Edwin Balua kuifungia Simba la pili kwa free-kick dakika ya 70.

Simba SC 1-0 Azam FC | Highlights | Muungano Cup - 27/04/2024
Simba SC 1-0 Azam FC | Highlights | Muungano Cup - 27/04/2024

Tazama matukio yote muhimu yaliyojiri kwenye mchezo wa fainali ya Muungano Cup kati ya Simba SC dhidi ya Azam FC. Simba imeshinda goli 1-0

Yanga SC 2-1 Simba SC | Highlights | NBC Premier League 20/04/2024
Yanga SC 2-1 Simba SC | Highlights | NBC Premier League 20/04/2024

KARIAKOO DERBY: Yanga SC imeendeleza ubabe kwa kuichapa Simba mabao 2-1 kwa mara ya pili msimu huu, katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC #NBCPremierLeague uliopigwa leo kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Magoli ya Yanga yamefungwa kipindi cha kwanza na Stephane Aziz Ki kwa penati dakika ya 20 na Joseph Guede dakika ya 38.

USIKU WA VITASA | Karim Mandoga Vs Mada Maugo (TKO) - 11/04/2024
USIKU WA VITASA | Karim Mandoga Vs Mada Maugo (TKO) - 11/04/2024

Kwa TKO raundi ya sita, Mada Maugo amemkalisha Karim Mandonga.

Mashujaa FC 1-1 (6-5) Simba SC | Penati | CRDB Bank Federation Cup - 09/04/2024
Mashujaa FC 1-1 (6-5) Simba SC | Penati | CRDB Bank Federation Cup - 09/04/2024

Tazama mikwaju yote ya penati iliyopigwa kwenye mchezo CRDB Bank Federation Cup kati ya Mashujaa FC dhidi ya Simba SC. Simba imetolewa kwa jumla ya penati 6-5 Waliopiga kwa upande wa Simba ni Mohamed Hussein, Israel Mwenda, Freddy Michael Koublan, Willy Onana, Mzamiru Yassin, Ladack Chasambi, Sadio Kanoute Waliopiga kwa upande wa Mashujaa ni Zuberi Dabi, Samson Madeleke, Masinda, Idrissa Stambuli, Adam Adam, Mpoki Mwakinyuke, Baraka Mtui