Crispin Ngushi ameifungia Mbeya Kwanza magoli mawili, moja likiwa la tikitaka na kufanya mechi yao dhidi ya Mbeya City (Mbeya Derby) imalizike kwa sare ya mabao 2-2. Mbeya City ndiyo waliotangulia kupata magoli yao kupitia kwa Paul Nonga na Richard Ng'ondya kabla ya Mbeya Kwanza kuongeza nguvu na kuchomoa magoli yote mawili kupitia kwa Crispin Ngushi aliyetokea benchi. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz