Timu ya KMKM kutoka Zanzibar imefanikiwa kuchukua nafasi ya tatu kwenye michuano ya Kombe la Kagame #CecafaKagameCup2021 baada ya kuichapa Azam FC bao 1-0 katika mechi ya kusaka mshindi wa tatu iliyopigwa kwenye Dimba la Benjamin Mkapa. Goli pekee la KMKM limefungwa na Iliyasa Mohamed dakika ya 3 huku Oscar Masai akitolewa nje kwa kadi nyekundu. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz