Highlights | Mtibwa Sugar 0-1 Mbeya Kwanza | TPL 27/09/2021
Highlights | Mtibwa Sugar 0-1 Mbeya Kwanza | TPL 27/09/2021

Timu ya Mbeya Kwanza iliyopanda daraja msimu huu, imekuwa ya kwanza kufunga goli msimu huu wa 2021/22 kupitia kwa William Edgar na kupata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Mtibwa Sugar, mechi ikipigwa kwenye Uwanja wa Mabatini, mkoani Pwani. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz

Magoli | Coastal Union 1-1 Azam FC | TPL 27/09/2021
Magoli | Coastal Union 1-1 Azam FC | TPL 27/09/2021

Azam FC wamebanwa mbavu na Coastal Union katika mchezo wao wa kwanza wa ligi kuu Tanzania Bara uliochezwa kwenye Uwanja wa Mkwakwani, jijini Tanga. Azam wametangulia kwa kichwa cha Daniel Amoah na Coastal kusawazisha dakika za majeruhi kupitia kwa Hance Masoud. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz

Goli la kwanza la msimu Mbeya Kwanza wakiwatandika 1-0 Mtibwa Sugar | TPL 27/09/2021
Goli la kwanza la msimu Mbeya Kwanza wakiwatandika 1-0 Mtibwa Sugar | TPL 27/09/2021

Goli la William Edgar limekuwa ndilo goli la kwanza kwenye ligi kuu Tanzania Bara msimu wa 2021/22, na kuipa ushindi wa bao 1-0 Mbeya Kwanza (iliyopanda daraja msimu huu) dhidi ya Mtibwa Sugar, mechi ikipigwa kwenye Uwanja wa Mabatini, mkoani Pwani. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz

Simba SC 0-1 Yanga SC | Full Highlights | Ngao ya Jamii 25/09/2021
Simba SC 0-1 Yanga SC | Full Highlights | Ngao ya Jamii 25/09/2021

SIMBA VS YANGA: Yanga wameshinda taji la Ngao ya Jamii kwa kuwatandika watani zao Simba bao 1-0 katika mchezo uliopigwa hivi punde kwenye Dimba la Benjamin Mkapa. Goli pekee la Yanga limefungwa na Fiston Mayele dakika ya 12. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz

Highlights | KMKM 0-2 Al Itihad | CAF CL 11/09/2021
Highlights | KMKM 0-2 Al Itihad | CAF CL 11/09/2021

KMKM VS AL ITIHAD: Ilikuwa ni mechi ya mkondo wa kwanza, raundi ya awali Ligi ya Mabingwa barani Afrika iliyopigwa kwenye uwanja wa Amaan Zanzibar na kushuhudia KMKM ikichapwa mabao 2-0 na Al Itihad kutoka nchini Misri. Tazama highlights, kosakosa, mashambulizi na matukio muhimu kutoka kwenye mechi hiyo. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz

Highlights | Biashara United 2-0 Dikhil FC | CAF CC  18/09/2021
Highlights | Biashara United 2-0 Dikhil FC | CAF CC 18/09/2021

BIASHARA UNITED VS DIKHIL FC: Biashara United imesonga mbele kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho barani Afrika ikiitandika FC Dikhil ya Djibouti mabao 2-0 na kufanya matokeo ya jumla ya 3-0 kufuatia ushindi wa bao 1-0 iliyoupata katika mchezo wa kwanza ugenini. Magoli yote mawili ya leo yamefungwa na Ramadhan Chombo 'Redondo' huku akipoteza penati. Mechi imepigwa Azam Complex, Chamazi. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz

Highlights | Horseed SC 0-1 Azam FC | CAF CC 18/09/2021
Highlights | Horseed SC 0-1 Azam FC | CAF CC 18/09/2021

Goli pekee la Ismail Aziz limeipa Azam FC ushindi wa bao 1-0 na kuipeleka raundi ya kwanza ya michuano ya Kombe la Shiriksiho barani Afrika kwa jumla ya maba 4-1 kufuatia ushindi wa 3-1 iliyoupata katika mchezo wa kwanza. Mechi hii ambayo Azam FC wamecheza kama wageni, imepigwa kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamazi kwa makubaliano maalum, ambapo Horseed waliamua kuutumia uwanja huo kama uwanja wao wa nyumbani. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz

Magoli | Biashara United 2-0 FC Dikhil | CAF CC 18/09/2021
Magoli | Biashara United 2-0 FC Dikhil | CAF CC 18/09/2021

BIASHARA UNITED VS DIKHIL FC: Biashara United imesonga mbele kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho barani Afrika ikiitandika FC Dikhil ya Djibouti mabao 2-0 na kufanya matokeo ya jumla ya 3-0 kufuatia ushindi wa bao 1-0 iliyoupata katika mchezo wa kwanza ugenini. Magoli yote mawili ya leo yamefungwa na Ramadhan Chombo 'Redondo' huku akipoteza penati. Mechi imepigwa Azam Complex, Chamazi. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz

« Previous Next »

Popular Tags

#Sergio Aguero  #Cristiano Ronaldo  #Football Defensive Skills  #Shot Goals  #Paul George  #Stephen Curry  #Neymar  #Goalkeeper Saves  #Best Champions League  #Stephen Curry  

Popular Users

#UKCoachCalipari  #ochocinco  #JoelEmbiid  #jtimberlake  #Buster_ESPN  #TheChristinaKim  #Joey7Barton  #DjokerNole  #TheRealJRSmith  #richarddeitsch  #ATLHawks  #GNev2  #SimplyAJ10