Goli la William Edgar limekuwa ndilo goli la kwanza kwenye ligi kuu Tanzania Bara msimu wa 2021/22, na kuipa ushindi wa bao 1-0 Mbeya Kwanza (iliyopanda ...
Mchezo wa kwanza ligi kuu ya Tanzania Bara msimu wa 2021-22 tukicheza na Mbeya kwanza katika uwanja wa Mabatini Mlandizi, Pwani na mchezo kuisha ...
Timu ya Mbeya Kwanza iliyopanda daraja msimu huu, imekuwa ya kwanza kufunga goli msimu huu wa 2021/22 kupitia kwa William Edgar na kupata ushindi ...
Afisa Mtendaji Mkuu (CEO) wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB), Almasi Kasongo akitoa neno mchezo wa kwanza wa ligi kuu tanzania bara kati ya Mtibwa ...
Msikie msemaji wa klabu ya Mtibwa Sugar Thobias Kifaru baada ya mchezo wao dhidi ya Mbeya kwanza kumalizika kwa wao kufungwa bao moja na wakali ...
Kutana na William Edgar mchezaji kutoka Mbeya Kwanza, ambaye ameweka rekodi ya kupiga bao la kwanza la msimu huu wa 2021/2022 kwenye TPL.
LIVE: MTIBWA SUGAR VS MBEYA KWANZA, MCHEZO WA KWANZA LIGI KUU TANZANIA BARA .