Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/Kidanistars
KIKOSI CHA SIMBA Kilichoanza VS JKT TANZANIA TAIRONE , KAGERE Kikosi cha Simba kitakachoanza dhidi ya JKT Tanzania 1. Aishi Manula 2. Haruna Shamte 3. Mohamed Hussein 4. Tairone Da Silva 5. Erasto Nyoni 6. Gerson Fraga 7. Deo Kanda 8. Mzamiru Yassin 9. Meddie Kagere 10. Clatous Chama 11. Hassan Dilunga Kikosi cha akiba 12. Beno Kakolanya 13. Gadiel Michael 14. Kennedy Juma 15. Sharaf Shiboub 16. Francis Kahata 17. Miraji Athuman 18. Ibrahim Ajibu https://www.youtube.com/playlist?list... https://www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho
Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars MABINGWA watetezi, Simba SC wameanza vyema msimu mpya wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya JKT Tanzania Uwanja wa Uhuru mjini Dar es Salaam. Mshambuliaji wa kimataifa wa Rwanda, Meddi Kagere alikaribia kufunga hat trick katika mechi ya kwanza baada ya kufunga mabao mawili, huku lingine likifungwa na Miraj Athumani ‘Madenge’ aliyerejeshwa kikosini msimu huu. Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Simba SC: Aishi Manula, Haruna Shamte, Mohammed Hussein, Erasto Nyoni, Tairone Santos, Gerson Fraga, Deogratius Kanda/Miraj Athumani dk60, Muzamil Yassin, Meddie Kagere, Hassan Dilunga/Sharaf Shiboub dk71 na Clatous Chama/Ibrahim Ajibu dk78. Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/Kidanistars
SPOTI HINTS: OKWI, JUUKO OUT! AFRICAN LYON VS SIMBA LIGI Kuu Tanzania Bara inaendelea tena leo kwa michezo mbalimbali kupigwa katika viwanja Tofauti ikiwemo Mechi kati yaAfrican Lyon dhidi ya Simba katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha huku Kocha Mkuu Patrick Aussems akithibitisha kuwakosa wachezaji wake Emmanuel Okwi na Juuko Murshid. Lakini pia gumzo ambalo lilikuwa likiendelea katika mitandao ya kijamii ikimuhusu Beki Mkongwe Kelvin Yondani kutompa mkono Nahodha wake Ibrahim Ajibu leo wanayanga wameamua kuonyesha video ambayo inawaonyesha wako sawa huku wakikimbizana katika kambi yao waliyoweka jijini Mwanza wakijiandaa na mchezo wao dhidi ya Mbao FC. #OKWI #JUUKO https://www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho
Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars YANGA SC imefanikiwa kwenda hatua ya 16 Bora ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) baada ya ushindi wa penalti 5-4 kufuatia sare ya 2-2 ndani ya dakika 90. Waliofunga penalti za Yanga SC ni Heritier Makambo, Paul Godfrey, Ibrahim Ajibu, Thabani Kamusoko na Matheo Anthony, za Biashara United zilifungwa na Lenny Kissu, George Makang’a, Derick Mussa, Kauswa Bernard, wakati Tariq Seif akapaisha ya nne. Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars/ Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars/ Twitter: https://twitter.com/kidanistars
Mabingwa wa kihistoria wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga SC wameendeleza ubabe wao kwenye ligi hiyo msimu huu baada ya leo kuiadhibu Mwadui Fc kwa kipigo cha mabao 3-1, mchezo ukipigwa kuanzia saa 1:00 usiku kwenye Dimba la Taifa Dar es Salaam. Mabao ya Yanga yamefungwa na Ibrahim Ajibu kwa ‘free-kick’ dakika ya 12, Amissi Tambwe dakika ya 39 akimalizia pasi ya Ibrahim Ajibu na Feisal Salum kwa shuti kali nje ya 18 dakika ya 58 huku bao la kufutia machozi la Mwadui likifungwa na Salim Aiyee dakika ya 82. Mbali na kupatikana kwa mabao hayo, Ibrahim Ajibu alikosa mkwaju wa penati iliyopanguliwa na golikipa wa Mwadui FC Anold Masawe dakika ya 19. Ushindi huo unaifanya Yanga kufikisha pointi 53 na kuzidi kujikita kileleni mwa msimamo wa ligi huku wanaowafuatia Azam Fc wakiwa na pointi 40 na mchezo mmoja mkononi.