Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars MABINGWA watetezi, Simba SC wameanza vyema msimu mpya wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya JKT Tanzania Uwanja wa Uhuru mjini Dar es Salaam. Mshambuliaji wa kimataifa wa Rwanda, Meddi Kagere alikaribia kufunga hat trick katika mechi ya kwanza baada ya kufunga mabao mawili, huku lingine likifungwa na Miraj Athumani ‘Madenge’ aliyerejeshwa kikosini msimu huu. Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Simba SC: Aishi Manula, Haruna Shamte, Mohammed Hussein, Erasto Nyoni, Tairone Santos, Gerson Fraga, Deogratius Kanda/Miraj Athumani dk60, Muzamil Yassin, Meddie Kagere, Hassan Dilunga/Sharaf Shiboub dk71 na Clatous Chama/Ibrahim Ajibu dk78. Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/Kidanistars