Content removal request!


KWANINI SIMBA WAPO KIMYA KWENYE USAJILI?/MSIKIE MWAKITALIMA SHABIKI WA SIMBA AKIFUNGUKA KWA UNDANI

Ebwanah eeh🔥🔥🔥 kumbe Simba Sc wana jambo lao Usajili dirisha dogo wanafanya mambo yao kimya kimya. Msikie Shabiki na Mwanachama wa klabu ya Simba Sc Justin Mwakitalima akitema cheche hapa kuhusu usajili dirisha hili dogo kwa upande wa klabu yao vipi mbona kimya? #mwakitalima #usajilisimba #simbasc #tetesizausajili #MpenjaTv