GOLIKIPA WA DODOMA JIJI AMVULIA KOFIA MAYELE/AMPA AUCHO MAN OF THE MATCH MSIKIE HAPA.. by @Mpenja TV - Post Details

GOLIKIPA WA DODOMA JIJI AMVULIA KOFIA MAYELE/AMPA AUCHO MAN OF THE MATCH MSIKIE HAPA..

Leo Desemba 31, ni funga mwaka 2021, Mpenja TV ipo uwanja wa Benjamin Mkapa kukuletea Habari zote moto moto za mchezo wa mwisho wa ligi kuu ya NBC kwa mwaka 2021 kati ya Vinara Yanga SC na Walima Zabibu, Dodoma Jiji FC. Mpenja Tv tumefanya mahojiano na Golikipa wa Dodoma Jiji Hussein Salum Masalanga ambaye amefunguka kiwango alichokionyesha Mayele na Aucho msikie hapa.. #YangaSCVsDodomaJiji #Yanga #DodomaJijiFC #FungaMwaka2021 #NBCPremierLeague #MpenjaTV

Similar Posts!