Content removal request!


SEMAJI LA SIMBA AHMED ALLY LATEMA CHECHE BAADA YA SARE/TUMERIDHIKA NA MATOKEO/TUNAWASUBIRI KWENYE FA

🔥🔥🔥Leo April 30, 2022 Unapigwa Mchezo wa Dabi ya Kariako Baina ya Yanga Na Simba Mchezo Utakaopigwa majira ya 11:00 Jioni katika Uwanja Wa Benjamin Mkapa Dar es Salaam Mpenja TV Tumekita Kambi Katika Uwanja Wa Benjamin Mkapa na Tunakuletea Kila Nukta ya Jambo Linalotokea hapa Kaa karibu na Sisi #mpenjaTV #YanganaSimba #YangavsSimba #Dabiyakariako #wataniwajadi