Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Yanga Sc, Hassan Bumbuli Amezungumza Namna Kikosi kinavyojiandaa Kumenyana na Namungo FC, Kwenye Mchezo wa Ligi Kuu ya NBC, Utakaochezwa Jumamosi ya Tarehe 23/4/2022,Uwanja wa Benjamin Mkapa. #MpenjaTv #YangaSc #NamungoFc #HassanMbumbuli