Content removal request!


UTAPENDA! SIKIA UCHAMBUZI WA MTOTO ADIL SHABIKI WA YANGA/"MKUDE ATAFUNGA/MAYELE LAZIMA ATETEME"

Mpenja Tv tumefanya mahojiano na Mtoto Adili Mwenye Kipaji cha kutangaza na Kuchambua Mpira ambaye pia ni Shabiki kindakindaki wa Yanga atamba timu yake ya Yanga kupata matokeo dhidi ya Simba April 30 Uwanja wa Benjamin Mkapa Fungua Video Hii kupata uhondo wa Mtoto Adil akichambua na Kutangaza Mpira.... #MtotoAdil #YangaSsVsSimbaSc #YangaSc #SimbaSc #DerbyyaKariakoo #KariakooDerby #MpenjaTv