UTACHEKA!😂 MC PETIT APIGA GOTI AWAOMBA MSAMAHA WACHEZAJI WA SIMBA/"PASI 3000 ZINAUMIZA MACHO” by @Mpenja TV - Post Details

UTACHEKA!😂 MC PETIT APIGA GOTI AWAOMBA MSAMAHA WACHEZAJI WA SIMBA/"PASI 3000 ZINAUMIZA MACHO”

Vita ya Alama Tatu Inashuhudiwa Uwanja wa Benjamin Mkapa Dar es Saalam Baina ya Simba SC dhidi ya Kagera Sugar Majira ya Saa Moja Usiku Mchezo wa Kwanza Uliopigwa Uwanja wa Kaitaba Mkoani Kagera Wageni Simba SC walipata Kipigo Cha Bao 1-0 Leo Mnyama Simba Anahitaji Kulipa Kisasi Timu ya Mpenja TV Iko Uwanja wa Benjamin Mkapa Tayari Kukusogezea Mambo Yote Yanayojili hapa #MpenjaTV #SimbaSC #Ahmedally #Kagerasugar #SimbaVsKageraSugar #NBCPremierLeague

Similar Posts!