Content removal request!


MPAKA HOME KWA FEISAL SALUM, MAMA MZAZI AFUNGUKA MAZITO/DADA NA KAKA ZAKE WAKOSHWA NA UJIKO WA FEI.

Leo Agosti 2 2022 Mpenja Tv tunakuletea mahojiano na familia ya Mchezaji wa Yanga Feisal Salum Abdallah maarufu kama Fei Toto. . Mama mzazi wa Feisal amezungumza mengi ndani ya Mahojiano haya. . Fungua video hii kupata uhondo wote wa habari hii. .