Content removal request!


ALLY KAMWE:TUNAHESHIMU HISIA ZA MASHABIKI/YANGA INATINGA MAKUNDI BILA WASIWASI/WACHEZAJI WAPO TAYARI

Ofisa Habari na Mawasiliano wa Yanga Sc, Ally kamwe amezungumza Maandalizi yao kuelekea Mchezo wa Mkondo wa Pili wa ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al Hilal ya Sudan, Utakaochezwa Jumapili ya Tarehe 16/10/2022,Uwanja wa Al Hilal Sudan.