TUISILA KISINDA AMUIBUA ALI MAYAY/ AZIZ KI ULIKUWA NI USAJILI BORA/TAIFA STARS VS UGANDA KAZI IPO. by @Mpenja TV - Post Details

TUISILA KISINDA AMUIBUA ALI MAYAY/ AZIZ KI ULIKUWA NI USAJILI BORA/TAIFA STARS VS UGANDA KAZI IPO.

Mchambuzi wa mpira wa miguu nchini kupitia kituo Cha Azam Tv Ali Mayay Tembele amezungumza baada ya dirisha la usajili kufungwa na kusema Nini kilimvutia zaidi katika dirisha hili. Amegusia pia uchambuzi wa timu ya Taifa ya Tanzania kwenye mchezo dhidi ya Uganda kwenye michuano ya kufuzu CHAN

Similar Posts!