Content removal request!


LIVE:HAWA HAPA DIARRA,AZIZ KI,YAO WAKIWA NA MUONEKANO WA BLICH/PACOME DAY HATARI/YANGA HAWANA DOGO

Kikosi cha Yanga SC kimefanya mazoezi yao ya mwisho katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kwa ajili ya Mchezo wa Februari 24,2024 wa ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya makundi dhidi ya CR Belouizdad,Utakaopigwa Uwanja wa Benjamin Mkapa,Saa 1:00 jioni.