KidaniStars's user profile page. Match highlights, posts and more on site!“” Report User |
Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars YANGA SC YATOKEA NYUMA NA KUSHINDA 2-1 DHIDI YA BIASHARA UNITED YA MARA NA KUREJEA KILELENI LIGI KUU Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars YANGA SC imerejea kileleni mwa Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Biashara United ya Musoma mkoani Mara usiku wa Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam. Ushindi huo unaifanya Yanga SC ifikishe pointi 41 baada ya kucheza mechi 15, sawa na Azam FC wenye pointi 39 ambao wanarejea nafasi ya pili, wakati mabingwa watetezi, Simba SC wenye pointi 27 za mechi 12 wanaendelea kushika nafasi ya tatu. Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars/ Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars/ Twitter: https://twitter.com/kidanistars
Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars YANGA SC imerejea kileleni mwa Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Biashara United ya Musoma mkoani Mara usiku wa leo Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam. Ushindi huo unaifanya Yanga SC ifikishe pointi 41 baada ya kucheza mechi 15, sawa na Azam FC wenye pointi 39 ambao wanarejea nafasi ya pili, wakati mabingwa watetezi, Simba SC wenye pointi 27 za mechi 12 wanaendelea kushika nafasi ya tatu. Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars/ Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars/ Twitter: https://twitter.com/kidanistars
Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars/ Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars/ Twitter: https://twitter.com/kidanistars
Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars SIMBA SC imelazimishwa sare ya bila kufungana na Lipuli FC ya Iringa katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam. Kwa sare hiyo, mabingwa hao watetezi wanajiongezea pointi moja na kufikisha 27 baada ya kucheza mechi 12, wakiendelea kushika nafasi ya tatu nyuma ya watani wao wa jadi, Yanga SC wenye pointi 29 za mechi 11 na vinara, Azam FC wenye pointi 33 za mechi 13. Kwa Lipuli FC inayofundishwa na Nahodha wa zamani wa Simba SC, Suleiman Abdallah Matola sare ya leo inawafanya wafikishe pointi 13 katika mechi ya 14, wakiwa bado katika eneo la hatari la kushuka daraja, nafasi ya 14 kwenye Ligi Kuu ya timu 20. Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars/ Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars/ Twitter: https://twitter.com/kidanistars Google + : https://plus.google.com/u/0/b/114092644404095947399/
Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars SIMBA SC imelazimishwa sare ya bila kufungana na Lipuli FC ya Iringa katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam. Kwa sare hiyo, mabingwa hao watetezi wanajiongezea pointi moja na kufikisha 27 baada ya kucheza mechi 12, wakiendelea kushika nafasi ya tatu nyuma ya watani wao wa jadi, Yanga SC wenye pointi 29 za mechi 11 na vinara, Azam FC wenye pointi 33 za mechi 13. Kwa Lipuli FC inayofundishwa na Nahodha wa zamani wa Simba SC, Suleiman Abdallah Matola sare ya leo inawafanya wafikishe pointi 13 katika mechi ya 14, wakiwa bado katika eneo la hatari la kushuka daraja, nafasi ya 14 kwenye Ligi Kuu ya timu 20. Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Kikosi cha Simba SC kilikuwa; Aishi Manula, Mohamed Hussein ‘Tshabalala’, Erasto Nyoni, Paul Bukaba/James Kotei dk39, Pascal Wawa, Jonas Mkude, Shiza Kichuya/Haruna Niyonzima fk75, Cloutus Chama, Meddie kagere, John Bocco na Hassan Dilunga/Rashid Juma dk46. Lipuli FC; Mohamed Yussuph, William Lucian ‘Gallas’, Paul Ngelema, Ibrahim Job/Novaty Lufunga dk62, Ally Sonso, Freddy Tangalu, Steven Mganga, Mussa Nampaka/Shaaban Ada dk66, Paul Nonga, Zawadi Mauya na Miraji Athumani.
Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Walichokifanya Burundi Baada ya Kuwatoa Tanzania U23 Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars
Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars MATUMAINI ya Tanzania kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa Afrika (AFCON) mwakani yameanza kufifia tena baada ya kuchapwa bao 1-0 na wenyeji, Lesotho jioni ya leo Uwanja wa Setsoto mjini Maseru. Bao lililoizamisha Taifa Stars leo limefungwa na beki wa klabu ya Matlama Maseru, Nkau Lerotholi dakika ya 76 kwa kichwa akimalizia mpira wa kona kutoka upande wa kulia. Kwa matokeo hayo, sasa timu yoyote kati ya tatu, Lesotho, Tanzania na Cape Verde zinaweza kuungana na vinara wa kundi hilo, Uganda kwenda Cameroon katikati ya mwaka ujao. Mamba wa Lesotho wanapanda nafasi ya pili baada ya kufikisha pointi tano sawa na Tanzania, wakati Cape Verde inashika mkia kwa pointi zake nne. Kikosi cha Lesotho kilikuwa; Samuel Khetsekile, Mafa Moremoholo, Basia Makepe, Bokang Sello, Tsoarelo Bereng/Hlompho Kalake dk71, Tsepo Toloane, Thapelo Tale/Sera Motebang dk51, Sepiriti Malefane, Jane Thaba-Ntso/Jane Tsotleko dk70, Tumelo Khutlang na Nkau Lerotholi. Tanzania; Aishi Manula, Abdallah Kheri/John Bocco dk83, Ally Sonso, Aggrey Morris, Kelvin Yondan, Erasto Nyoni, Mudathir Yahya/Feisal Salum ‘Fei Toto’dk73, Himid Mao, Simon Msuva, Shaaban Iddi Chilunda na Gardiel Michael/Shiza Kichuya dk59. Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars
Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Tanzania leo italazimika kucheza kwa nguvu zote kupata pointi tatu nyeti zitakazoamua hatma yake katika michuano ya Mataifa ya Afrika (Afcon) itakaporudiana na wenyeji Lesotho kwenye Uwanja wa Setsoto mjini Maseru. Lesotho, inayokamata mkia katika Kundi L baada ya kuambulia pointi mbili tu, nayo imepania kucheza kwa kushambulia kuanzia dakika ya kwanza ili angalau ishinde na kufufua matumaini ya kufuzu kwenda Cameroon kwenye fainali hizo mwakani. Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars