KidaniStars's user profile page. Match highlights, posts and more on site!“” Report User |
Mambo mawili yaliyofungwa na Meddie Kagere katika dakika za 11 na 38 kipindi cha kwanza yameiwezesha Simba kung'ara kwa ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya JKT Tanzania. Katika mchezo huo uliopigwa kwenye Uwanja wa CCM Mkwakwani Tanga, Simba ilimuazisha kiungo wake Mghana, James Kotei ambaye alikuwa anatumikia adhabu kufuatia kumpiga Gadiel Michael katika mechi ya mwisho iliyowakutanisha watani wa jadi. Ushindi huo unaifanya Simba kuendelea kuikimbiza Azam FC iliyo na pointi 27 kileleni kwa kufikisha alama 26. Licha ya ushindi huo, Kocha Patrick Aussems ameulalamikia Uwanja wa Mkwakwani kuwa si rafiki kwa kuchezea na akiomba kama kuna uwezekano uweze kufanyiwa ukarabati. #JKTTanzania #SIMBASC #MeddieKagere
Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Kikosi cha Stars kilichoitwa na Kocha Emmanuel Amunike kuelekea mchezo wa kufuzu kuelekea AFCON dhidi ya #Lesotho, Novemba 18 2018. #TAIFASTARS Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars
#SIMB SC VS #JKTTanzania Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Kikosi cha klabu ya Simba kimewasil salama Tanga kwa ajili ya mechi ya Ligi Kuu Bara dhidi ya JKT Tanzania. Kuelekea mechi hiyo itakayopigwa Jumamosi ya wikiendi ijayo, uongozi umesema hali na morali ya wachezaji ipo vizuri. Mabingwa hao watetezi wa ligi wanaenda kucheza na JKT wakiwa na alama 23 katika nafasi ya 3 ya msimamo wa ligi. Wakati huo JKT ambao watakuwa nyumbani watapepetuana na Simba wakiwa na alama 18 kwenye msimamo wa ligi. Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars
Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Kocha wa Kocha Ruvu Shooting tumefungwa kutokana na mabeki kufanya makosa ya kitoto na kupelekea kugfungwa bao 5-0 Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars
Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars MSHAMBULIAJI Mganda, Emmanuel Okwi ameanza kuonyesha cheche katika msimu mpya wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya kufunga mabao matatu katika katika ushindi wa 5-0 dhidi ya Ruvu Shooting ya Pwani usiku wa Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam. Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars #EmmanuelOkwi #OKWI
Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars MSHAMBULIAJI Mganda, Emmanuel Okwi ameanza kuonyesha cheche katika msimu mpya wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya kufunga mabao matatu katika katika ushindi wa 5-0 dhidi ya Ruvu Shooting ya Pwani usiku wa Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam. Kwa ushindi huo ulionakshiwa na mabao mengine mawili ya Mnyarwanda mwenye asili ya Uganda, Meddie Kagere na mzawa, Adam Salamba, #SimbaSC inafikisha pointi 23 baada ya kucheza mechi 10, ikiendelea kuwa nyuma ya Azam FC inayoongoza Ligi Kuu kwa pointi zake 27 za mechi 11. Okwi aliifungia Simba SC bao la kwanza dakika ya saba akimalizia krosi ya beki wa kulia, Shomari Kapombe baada ya kazi nzuri iliyofanywa na kiungo Shiza Ramadhani Kichuya. Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars #SIMBASC #YANGASC #LIGIKUU
Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars MSHAMBULIAJI Mganda, Emmanuel Okwi ameanza kuonyesha cheche katika msimu mpya wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya kufunga mabao matatu katika katika ushindi wa 5-0 dhidi ya Ruvu Shooting ya Pwani usiku wa leo Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam. Kwa ushindi huo ulionakshiwa na mabao mengine mawili ya Mnyarwanda mwenye asili ya Uganda, Meddie Kagere na mzawa, Adam Salamba, Simba SC inafikisha pointi 23 baada ya kucheza mechi 10, ikiendelea kuwa nyuma ya Azam FC inayoongoza Ligi Kuu kwa pointi zake 27 za mechi 11. Okwi aliifungia Simba SC bao la kwanza dakika ya saba akimalizia krosi ya beki wa kulia, Shomari Kapombe baada ya kazi nzuri iliyofanywa na kiungo Shiza Ramadhani Kichuya. Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars #RuvuShooting #Simbasc
Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Kikosi cha Simba SC; Aishi Manula, Shomari Kapombe, Mohammed Hussein ‘Tshabalala’, Juuko Murshid/Paul Bukaba dk 87, Pascal Wawa, Jonas Mkude, Shiza Kichuya, Clatous Chama, Meddie Kagere/Hassan Dilunga dk 66, John Bocco na Emmanuel Okwi/Adam Salamba dk83. Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars