Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars YANGA SC imerejea kileleni mwa Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Biashara United ya Musoma mkoani Mara usiku wa leo Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam. Ushindi huo unaifanya Yanga SC ifikishe pointi 41 baada ya kucheza mechi 15, sawa na Azam FC wenye pointi 39 ambao wanarejea nafasi ya pili, wakati mabingwa watetezi, Simba SC wenye pointi 27 za mechi 12 wanaendelea kushika nafasi ya tatu. Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars/ Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars/ Twitter: https://twitter.com/kidanistars