KidaniStars's user profile page. Match highlights, posts and more on site!

“”

 Report User

Highlights

Alichosema Kocha wa Simba Baada Ya Ushindi na Nkana
Alichosema Kocha wa Simba Baada Ya Ushindi na Nkana

Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Mechi ya marudiano ya hatua ya kwanza kuwania kufunzu hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya Simba na Nkana FC ya Zambia imemalizika kwa Simba kufanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 3-1. Dakika 5 za mwanzo Simba walianza vizuri ila ndani ya dakika 15 walipoteana na kuruhusu bao la dakika ya 16 lililofungwa na Walter Bwalya baada ya kushambulia lango la Simba kwa muda mrefu. Iliwalazimu Simba wasubiri mpaka dakika ya 29 akimalizia pasi ya Claytous Chama na dakika ya 45 Meddie Kagere aliandika bao kwa kichwa akimalizia pasi ya James Kotei. Kipindi cha pili dakika ya 88 Claytous Chama alifunga bao akimalizia pasi ya Hassan Dilunga. Simba wanafanikiwa kufuzu hatua ya makundi kwa ushindi wa jumla ya mabao 4-3 Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars/ Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars/ Twitter: https://twitter.com/kidanistars



Mashabiki Nkana Wakajipange, Tunawapiga Bao 3 Taifa
Mashabiki Nkana Wakajipange, Tunawapiga Bao 3 Taifa

Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars/ Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars/ Twitter: https://twitter.com/kidanistars



Simba Watua Kibabe Kuwafunga Nkana Taifa, Washinda 3-1
Simba Watua Kibabe Kuwafunga Nkana Taifa, Washinda 3-1

Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Unaweza kusema ni 'Mwendo Mdundo kwa Simba' baada ya leo kumefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Nkana FC ya Zambia katika mchezo wa marudiano uliochezwa uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Matokeo hayo yanaipa nafasi Simba kutinga hatua ya Makundi baada ya kufanikiwa kushinda kwa jumla ya mabao 4-3 kwa kuwa mchezo wa kwanza walishinda kwa jumla ya mabao 2-1 na leo wapinzani wao wamekubali kupigwa mabao 3-1. Nkana walikuwa wa kwanza kufunga bao kupitia kwa Walter Bwalya na kuwafanya Simba waongeze kasi na kusawazisha dakika ya 26 kupitia kiungo Jonas Mkude aliyemalizia pasi ya Claytous Chama na dakika ya 45 Meddie Kagere alifunga bao la 2 kwa kichwa akimaliza pasi ya James Kotei. Kipindi cha pili Simba walifanya mabadiliko kwa kumtoa Meddie Kagere dakika ya 56 nafasi yake ikachukuliwa na Hassan Dilunga na Emmanuel Okwi alitoka dakika ya 79 akaingia Shiza Kichuya hali iliyoweza kuongeza mashambulizi. Iliwalazimu Simba wasubiri mpaka dakika ya 88 ambapo Hassan Dilunga alipiga pasi kwa guu la kushoto iliyomkuta Claytous Chama na kumalizia kwa kutumia kisigino kilichomchanganya mlinda mlango wa Nkana FC. Matokeo hayo yanaipeleka Simba kwenye hatua ya Makundi kibabe huku kikosi cha Nkana FC kikishuka kupambana kwenye mashindano ya kombe la Shirikisho. Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars/ Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars/ Twitter: https://twitter.com/kidanistars



Mazoezi Ya Simba Dhidi ya NKANA ni KUFAnaKUPONA BOKO
Mazoezi Ya Simba Dhidi ya NKANA ni KUFAnaKUPONA BOKO

#SIMBASC #NKANAFC Timu ya Simba wanafanya mazoezi ya Kufa na kupona katika Uwanja wa Boko jijini Dar kujiandaa na NKANA FC mchezo wa Ligi ya MABINGWA. Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars/ Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars/ Twitter: https://twitter.com/kidanistars



Kwa Mazoezi Haya, Nkana Wanafungwa Kesho Taifa
Kwa Mazoezi Haya, Nkana Wanafungwa Kesho Taifa

Timu ya Simba leo imefanya mazoezi katika Uwanja wa Boko jijini Dar es Salaam Kujiandaa na timu ya Nkana Fc siku ya Jumapili katika Uwanja wa Taifa, Mchezo wa Ligi ya Mabingwa wa marudiano. #KUFANAKUPONA #SIMBASC #NKANA Katika Mchezo wa Kwanza Simba walifungwa bao 2-1 nchini Zambia Kitwe



Kocha Simba: Tumechukua Pointi 3 KMC, Nkana Wajipange Jumapili
Kocha Simba: Tumechukua Pointi 3 KMC, Nkana Wajipange Jumapili

Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars MABINGWA watetezi, Simba SC wameonyesha bado wapo vizuri katika kulilinda taji lao baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya timu ya Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni (KMC) katika mchezo uliofanyika Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam. Kwa ushindi huo, Simba SC inayofundishwa na kocha Mbelgiji, Patrick J. Aussems, inafikisha pointi 30 katika mechi ya 13, sasa ikizidiwa pointi 14 na vinara, Yanga SC waliocheza mechi 16 wanaofuatiwa na Azam FC, zote za Dar es Salaam wenye pointi 40 za mechi 16 . Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars/ Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars/ Twitter: https://twitter.com/kidanistars



Simba Wapigwa 2-1 na Nkana, Kikosi hiki Hapa kilichofungwa
Simba Wapigwa 2-1 na Nkana, Kikosi hiki Hapa kilichofungwa

Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars TIMU ya  Simba imefungwa bao 2-1 dhidi ya Nkana FC kwenye Uwanja wa Nkana, Kitwe, Zambia unaobeba mashabiki 10,000 katika mchezo muhimu wa Ligi ya Mabingwa Afrika. Mabao ya Nkana FC yamefungwa na Ronald Kampamba dakika ya 27 kipindi cha kwanza na Kelvin Kampamba dakika ya 56 kipindi cha pili. Simba wamepata bao  kupitia kwa John Bocco kwa mkwaju wa penati dakika ya 73 kipindi cha pili baada ya Meddie Kagere kuangushwa kwenye eneo la hatari. Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars/ Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars/ Twitter: https://twitter.com/kidanistars



Usajili: Mchezaji Wa Sofa Paka Kutua Yanga?
Usajili: Mchezaji Wa Sofa Paka Kutua Yanga?

Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars/ Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars/ Twitter: https://twitter.com/kidanistars




« Previous Next »


User Detail Page

You can find user latest posts and related content on the page. Friends, comments for events / matches are also available on the page. Even you can find users who are same pleasure with current user.

#Travel, #SupportYourTeam, #AllAboutSports