Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Tanzania leo italazimika kucheza kwa nguvu zote kupata pointi tatu nyeti zitakazoamua hatma yake katika michuano ya Mataifa ya Afrika (Afcon) itakaporudiana na wenyeji Lesotho kwenye Uwanja wa Setsoto mjini Maseru. Lesotho, inayokamata mkia katika Kundi L baada ya kuambulia pointi mbili tu, nayo imepania kucheza kwa kushambulia kuanzia dakika ya kwanza ili angalau ishinde na kufufua matumaini ya kufuzu kwenda Cameroon kwenye fainali hizo mwakani. Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars