Kipingu TV's user profile page. Match highlights, posts and more on site!“” Report User |
Simba imeendelea kujichimbia kileleni mwa msimamo wa vpl baada ya kuchomoza na ushindi wa 3-0 dhidi ya Ruvu Shooting ktk uwanja wa Uhuru
Simba na Ruvu Shooting kupambana katika uwanja wa Uhuru na hivi ndio vikosi vitakavyoanza katika mchezo huo wa vpl.
Round ya 15 imekamilika kwa Simba kushinda 4-0 kwa kuichapa majimaji katika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.
Simba imerejea kileleni mwa msimamo wa VPL baada ya kuichapa magoli 2-0 timu ya Kagera sugar katika uwanja wa Kaitaba mkoani Kagera. Baada ya mchezo huo,Mchezaji wa Kagera sugar Juma Saidi Nyoso alimpiga shabiki wa Simba hadi kuzimia ambapo alikimbizwa hospitali na Nyoso kushikiliwa na polisi.
Simba inapambana na Kagera sugar huko Kagera katika kuwania kikombe cha ligikuu Tanzania bara.
Simba imeichapa timu ngumu ya Singida united magoli manne kwa sifuri katika mchezo wa ligi kuu Tanzania bara maarufu kama VPL na kujichimbia kileleni mwa msimamo wa ligikuu. Wakati huohuo timu hiyo imemtangaza Kocha mpya atakayeinoa timu hiyo.
VPL inaendelea Leo Jumamosi 30/12/2017 ambapo Simba ipo ugenini mkoani Mtwara ikikwaana na wenyeji wao Ndanda fc, ambapo Simba inapambana kurejea kileleni mwa msimamo wa vpl baada ya kuenguliwa na Azam fc
Man utd vs Omonia europa league 2022/23 #manchesterunited #manutd #omonia.
Barcelona vs inter milan live today uefa #barcelona #intermilan #championsleague.
Rangers vs Liverpool Champions League #Rangers #liverpool #championsleague.
Fikayo Tomori Red Card ac milan vs Chelsea UEFA Champions League #fikayotomori #chelsea #aubameyang ...
Milan vs Chelsea Highlights UEFA Champions league #uefachampionsleague2022 #chelsea #acmilan.
Manchester united Back at Training After Win vs Omonia #manchesterunited #manchesterunitedtraining.
Arsenal v Bodø/Glimt(2-0) All Goals Highlights europa league #arsenal #bodo/glimt #europaleague.