SIMBA Yainyoa Singida united, Yamtangaza Kocha by @Kipingu TV - Post Details

SIMBA Yainyoa Singida united, Yamtangaza Kocha

Simba imeichapa timu ngumu ya Singida united magoli manne kwa sifuri katika mchezo wa ligi kuu Tanzania bara maarufu kama VPL na kujichimbia kileleni mwa msimamo wa ligikuu. Wakati huohuo timu hiyo imemtangaza Kocha mpya atakayeinoa timu hiyo.

Similar Posts!