Round ya 15 imekamilika kwa Simba kushinda 4-0 kwa kuichapa majimaji katika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.