ZeShoot's user profile page. Match highlights, posts and more on site!“” Report User |
Siri ya Bernard Morison kugoma Yanga imefichuka na sababu kujulikana kilichosababisha kumzimia simu kocha Luc Eymael.
MICHEZO Magazetini leo Jumamosi tarehe 14/7/2018 yametawaliwa na habari kubwa ya Azamfc kuibuka bingwa kagame cup kwa kuinyuka Simba 2-1 pia leo ni harakati za Ubelgiji na Uingereza kumsaka mshindi wa tatu wa kombe la dunia huko Urussi
Kikosi kamili cha simba kinachoanza leo dhidi ya Singida United kuwania kombe la CECAFA-Kagame cup 2018,Kagere akianza na Mohammed Rashid wakati Adam Salamba akisubiri benchi.
Kikosi kamili cha simba kinachoanza leo dhidi ya Majimaji kakika uwanja wa Majimaji mkoani Songea ukiwa ni mchezo wa kuhitimisha ligi kuu Tanzania bara maarufu VPL Simba ikiwa tayari ni bingwa.
Kikosi kamili cha Simba kinachoanza dhidi ya Ndanda fc katika uwanja wa taifa leo,Simba ikiwania kujinyakulia kombe la VPL.
Ligi kuu Tanzania bara VPL imeendelea katika viwanja vitano 11/3/2018 ambapo imeshuhudia Azam ikipanda hadi nafasi ya Pili kwa point 44 nyuma ya Simba na kuipiku yanga itakayocheza Jumatatu 12/3/2018 pia EPL,Arsenal imeshinda mchezo wake dhidi ya wigan3-0
Simba imeshindwa kuibuka na point tatu muhimu katika uwanja wa Kambarage Shinyanga mbele ya Mwadui fc baada ya kulazimishwa sare ya 2-2 hivyo Kupunguza pengo la point na Yanga.
Simba imeibuka na ushindi wa goli moja kwa sifuri katika mchezo wa VPL uliofanyika uwanja mkubwa wa Taifa na kuzidi kujichimbia kileleni mwa msimamo wa VPL
Arsenal Hit with FA Charge After Player Chaos Against Leeds United #arsenal #leedsunited #chaos.
Fred and Fernandes Goals Manchester Utd vs Tottenham 2-0 #manchesterunited #fred.
Manchester United felt they should have been awarded a penalty against Newcastle United on Sunday – but VAR decided that ...
Neves Goal Wolves vs Nottingham Forest 1-0 through penalty kick #wolves #rubenneves #premierleaguehighlights.
Brentford 2-0 Brighton: Ivan Toney completes his brace with a penalty after breaking the deadlock with a sensational flick as he ...