Simba yaichapa Kagera sugar 2-0,Nyoso akamatwa by @Kipingu TV - Post Details

Simba yaichapa Kagera sugar 2-0,Nyoso akamatwa

Simba imerejea kileleni mwa msimamo wa VPL baada ya kuichapa magoli 2-0 timu ya Kagera sugar katika uwanja wa Kaitaba mkoani Kagera. Baada ya mchezo huo,Mchezaji wa Kagera sugar Juma Saidi Nyoso alimpiga shabiki wa Simba hadi kuzimia ambapo alikimbizwa hospitali na Nyoso kushikiliwa na polisi.

Similar Posts!