Simba mwendo mdundo VPL,Yaipiga Ruvu Shooting3-0 by @Kipingu TV - Post Details

Simba mwendo mdundo VPL,Yaipiga Ruvu Shooting3-0

Simba imeendelea kujichimbia kileleni mwa msimamo wa vpl baada ya kuchomoza na ushindi wa 3-0 dhidi ya Ruvu Shooting ktk uwanja wa Uhuru

Similar Posts!