Mchezo wa Yanga na Al Hilal umemalizika kwa Yanga kuibuka na ushindi wa Bao 1-0 bao pekee lililofungwa na Kiungo Stephan Aziz Ki dakika ya 07 ya Mchezo limetosha kuipa Yanga Alama Tatu muhimu dhidi ya Al Hilal Omdurman.
Kamati ya Utendaji ya Yanga imekaa leo na kujadili masuala muhimu kuhusu klabu hiyo ikiwa ni pamoja na usajili wa dirisha dogo......#yangasc #usajili #dirishadogo #alikamwe #hajimanara #manara #yangasc #manaratv #dube #yangasc #alikamwe #manara #hersi #alikamwe #gamondi #pacome #dube #yangasc #subscribe #jahctivetv #azamtv #simbasc #azamfc #manara #alikamwe #ahmedally #michezo #ligikuu #tff #burudani #nbc #soka Endelea Kutufuatilia JAhctiveTv Tumekuchagua, Tutakuhudumia
Klabu ya Yanga imepoteza mchezo wa pili wa hatua ya Makundi ya Ligi ya Mabingwa barani Afrika baada ya kuchapwa bao 2-0 dhidi ya MC Alger katika mchezo uliomalizika nchini Algeria hii leo...#alikamwe #hajimanara #manara #yangasc #manaratv #dube #yangasc #alikamwe #manara #hersi #alikamwe #gamondi #pacome #dube #yangasc #subscribe #jahctivetv #azamtv #simbasc #azamfc #manara #alikamwe #ahmedally #michezo #ligikuu #tff #burudani #nbc #soka Endelea Kutufuatilia JAhctiveTv Tumekuchagua, Tutakuhudumia
Mchezo wa Yanga na Namungo umemalizika na Yanga kupata ushindi wa bao mbili kwa bila... Ali Kamwe amezungumza baada ya ushindi...#hajimanara #manara #yangasc #manaratv #dube #yangasc #alikamwe #manara #hersi #alikamwe #gamondi #pacome #dube #yangasc #subscribe #jahctivetv #azamtv #simbasc #azamfc #manara #alikamwe #ahmedally #michezo #ligikuu #tff #burudani #nbc #soka
Meneja Habari wa Klabu ya Yanga Ali Kamwe Analichambua Kundi la Yanga Sc Mwanzo Mwisho baada ya Kuchezeshwa Kwa Droo ya Makundi hii leo na Yanga kuwafahamu wapinzani wake ambao ni Al Hilal ya Sudan, TP Mazembe Ya Congo, MC Alger ya Alger nao Young Africans Wenyew..#yangasc #simbasc #ahmedally #alikamwe #hersi #modewij #caf #ligiyamabingwa #azamtv #azamsports #azamfc #ligikuu #tff #nbc #gsm #michezo #burudani Endelea Kutufuatilia JAhctiveTv Tumekuchagua, Tutakuhudumia
Baada ya Msimu wa Ligikuu kutamatika hii leo, Msemaji wa Klabu ya Yanga Haji Manara amezungumza na Watanzania kwa mara ya kwanz na kutoa maoni yake n uchambuzi juu ya vile ameutazama msimu na wachezaji ambao wamemvutia zaidi. #hajimanara #manaratv #yangasc #azizki #alikamwe #ahmedally #simbasc #azamfc #ligikuu #nbc #tff #ubingwa #wachezaji #michezo #burudani #raisheri #injinia #modewij #babra #mangungu #gamondi #gsm #matola #mgunda #mvp #pacome #yao #topscorer Endelea Kutufuatilia JAhctiveTv Tumekuchagua, Tutakuhudumia
DROO YA ROBO FAINAL KOMBE LA SHIRIKISHO NA LIGI YA MABINGWA AFRIKA KUFANYIKA LEO. Msemaji wa Klabu ya Yanga Haji Manara anazungumza na Watanzania kuelekea Droo Ya robo Fainali Kombe la Shirikisho na ligi Ya mabingwa Africa inafanyika leo saa 9:00 Alasiri nchini Misri Ambapo Tanzania itawakilishwa na Simba na Yanga Kwenye ligi ya Mabingwa Afrika huku Manara akiweka wazi nafasi ya Yanga kufuzu Nusu Final kutokana na aina ya mpinzani watakayepangiwa Vilabu ambavyo vimefuzu robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika Kuna Al Ahly (Egypt), ASEC Mimosas (Cote d’Ivoire), Mamelodi Sundowns (South Africa), Atletico Petroleos (Angola), TP Mazembe (DR Congo), Simba SC (Tanzania), Esperance Sportive de Tunis (Tunisia), Young Africans (Tanzania). kombe la Shirikisho Kuna USM Alger (Algeria), Zamalek (Egypt), Dreams FC (Ghana), RS Berkane (Morocco), Modern Future (Egypt), Abu Salem (Libya), Rivers United (Nigeria), Stade Malien (Mali). #manara #yangasc #caf #drooyacaf #hajimanara #manaratv #simbawc #alikamwe #ahmedally #azamtv #azamfc #ligikuu #michezo #burudani #tff #nbc #gsm Endelea Kutufuatilia JAhctiveTv Tumekuchagua, Tutakuhudumia
Aliyekua mshambuliaji wa Klabu ya Yanga Fiston Mayele ameitembelea kambi ya Yanga iliyopo nchini Misri ambapo hii leo itacheza mchezo wa mwisho wa hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa dhidi ya Al Ahly. #mayele #yangasc #alahly #misri #ccl #musonda #yangasc #caf #ligiyamabingwaafrica #manara #hajimanara #yangasc #manaratv #ligikuu #tff #ligiyamabingwa #azamtv #azamfc #simbasc #alikamwe #ahmedally #azammedia #michezo #burudani #msimamo Endelea Kutufuatilia JAhctiveTv Tumekuchagua, Tutakuhudumia