Dar24 Media's user profile page. Match highlights, posts and more on site!

“”

 Report User

Highlights

VITA! NUGAZ AMUIBUKIA KITENGE/ AMPA MAKAVU YAKE/ MANARA/ "SINA UGOMVI NAYE"
VITA! NUGAZ AMUIBUKIA KITENGE/ AMPA MAKAVU YAKE/ MANARA/ "SINA UGOMVI NAYE"

AFISA MUHAMASISHAJI WA YANGA ANTONIO NUGAZ AMEKANUSHA KUMTUSI HAJI MANARA KWA KUMUITA MSUKULE. NUGAZ AMESEMA YANAYOENDELEA KWA SASA NI UZUSHI, KWANI BADO YUPO YANGA NA ATAFANYA KAZI NA MANARA. -- Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali. JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786 ⚫️ Email: dar24news@gmail.com ⚫️ Website: www.dar24.com ⚫️ Instagram: @Dar24Tz ⚫️ Facebook: @dar24news ⚫️ Twitter: @Dar24News #maulidkitenge #antonionugaz #hajimanara



KISA ZANACO FC: YANGA WANG'ATA MENO 2021-22/ WATOA KAULI NZITO/ "VIONGOZI"
KISA ZANACO FC: YANGA WANG'ATA MENO 2021-22/ WATOA KAULI NZITO/ "VIONGOZI"

Baadhi ya mashabiki na wanachama wa Yanga wametamba kuwa na kikosi kizuri licha ya kupoteza mchezo wao wa kwanza wa kimataifa wa kirafiki dhidi ya ZANACO FC kwa kufungwa mabao mawili kwa moja. Mashabiki wa Wanachama wa Yanga ambao walikuwa wakishangilia kwa staili ya kuwajaza baada ya mshambuliaji Heritier Makambo kufunga bao la kufutia machozi kwenye mchezo huo wametamba kuwa msimu ujao wapinzani wao mbona wataomba poo. -- Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali. JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786 ⚫️ Email: dar24news@gmail.com ⚫️ Website: www.dar24.com ⚫️ Instagram: @Dar24Tz ⚫️ Facebook: @dar24news ⚫️ Twitter: @Dar24News #yangasc #makambo #zanaco



MO DEWJI AMJIBU MANARA/ "NINA FURAHA"/ ATANGAZA AHADI MPYA SIMBA SC
MO DEWJI AMJIBU MANARA/ "NINA FURAHA"/ ATANGAZA AHADI MPYA SIMBA SC

MWENYEKITI wa bodi ya wakurugenzi Simba, Mohammed Dewji 'Mo Dewji' kupitia mitandao yake ya kijamii ameweka wazi kuwa kambi ya maandalizi ya msimu ujao ya kikosi hicho yatafanyika Marekani. -- Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali. JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786 ⚫️ Email: dar24news@gmail.com ⚫️ Website: www.dar24.com ⚫️ Instagram: @Dar24Tz ⚫️ Facebook: @dar24news ⚫️ Twitter: @Dar24News #modewji #hajimanara #simbasc



AL AHLY WAMTAMBULISHA MIQUISSONE/ PITSO AMPA DARAJA LA JUU/ WAANDISHI WA HABARI WASHANGAZWA!
AL AHLY WAMTAMBULISHA MIQUISSONE/ PITSO AMPA DARAJA LA JUU/ WAANDISHI WA HABARI WASHANGAZWA!

KOCHA Mkuu wa Al Ahly ya Misri raia wa Afrika Kusini, Pitso Mosimane, amemfungukia kwa mara ya kwanza aliyekuwa winga wa Simba, Luis Miquissone kuwa ni mchezaji hatari kutokea Afrika kwasasa na ndiyo maana amemsajili kwenye kikosi chake. Luis aliyejiunga na Simba, Januari 2020, akitokea UD Songo ya kwao Msumbiji, mwishoni mwa msimu huu aliachana rasmi na timu hiyo kisha kujiunga na Al Ahly kwa mkataba wa miaka mitatu. Taarifa kutoka nchini Misri, imeeleza kuwa, tangu Luis ajiunge na klabu hiyo amekuwa gumzo kubwa, jambo ambalo limewafanya waandishi wa nchini humo kumuuliza kocha Mosimane juu ya uwezo wake na kujikuta akimmwagia sifa lukuki. -- Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali tembelea www.dar24.com #simbasc #yangasc #luismiquissone



SADIO KANOUTE ATUA MOROCCO/ AANZA MAZOEZI NA WENZAKE/ KUTAMBULISHWA SIMBA SC
SADIO KANOUTE ATUA MOROCCO/ AANZA MAZOEZI NA WENZAKE/ KUTAMBULISHWA SIMBA SC

Kiungo mchezeshaji kutoka nchini Mali, Sadio Kanoute, amejiunga na kambi ya Simba nchini Morocco kujiandaa na msimu mpya wa 2021/22. Kiungo huyo aliyeletwa kwa ajili ya kuchukua nafasi ya Mzambia, Clatous Chama, amesajiliwa na Simba kwa la dola 150,000 (zaidi ya Sh 348Mil) akitokea Al ahly Benghazi ya nchini Libya. -- Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali tembelea www.dar24.com #sadiokanoute #simbasc #usajili



MO AFANYA KUFURU YA FEDHA ?/ UBINGWA WA AFRIKA UNAKUJA TANZANIA/SIMBA KUJAZWA MIHELA LEO ?
MO AFANYA KUFURU YA FEDHA ?/ UBINGWA WA AFRIKA UNAKUJA TANZANIA/SIMBA KUJAZWA MIHELA LEO ?

-- Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali tembelea www.dar24.com #Modewji #Simbasc #Manara




« Previous Next »


User Detail Page

You can find user latest posts and related content on the page. Friends, comments for events / matches are also available on the page. Even you can find users who are same pleasure with current user.

#Travel, #SupportYourTeam, #AllAboutSports