Baadhi ya mashabiki na wanachama wa Yanga wametamba kuwa na kikosi kizuri licha ya kupoteza mchezo wao wa kwanza wa kimataifa wa kirafiki dhidi ya ZANACO FC kwa kufungwa mabao mawili kwa moja. Mashabiki wa Wanachama wa Yanga ambao walikuwa wakishangilia kwa staili ya kuwajaza baada ya mshambuliaji Heritier Makambo kufunga bao la kufutia machozi kwenye mchezo huo wametamba kuwa msimu ujao wapinzani wao mbona wataomba poo. -- Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali. JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786 ⚫️ Email: dar24news@gmail.com ⚫️ Website: www.dar24.com ⚫️ Instagram: @Dar24Tz ⚫️ Facebook: @dar24news ⚫️ Twitter: @Dar24News #yangasc #makambo #zanaco