Dar24 Media's user profile page. Match highlights, posts and more on site!“” Report User |
Mkurugenzi wa Kampuni ya Vunja Bei Fred Ngajiro 'Fred Vunjabei" amekiri kusikia sauti inayodaiwa kuwa ni ya Msemaji wa klabu ya Young Africans Haji Manara, inayoendelea kusambaa mitandaoni akiisema vibaya kampuni yake. Sauti inayodaiwa kuwa ni ya Haji Manara inasikika ikieleza namna ambavyo Fred vunja Bei alivyop[ewa pesa na Mkurugenzi wa GSM ili asafirishe mziego wa jezi za klabu ya Simba ili kuzileta Tanzania. Vunjabai amesema baada ya kusikia sauti hiyo alikaa chini na jopo la wanasheria wake na sasa anasubiri jibu sahihi la jambo gania napaswa kulichukua kutokana na kampuni yake kuchafuliwa. -- Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali. JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786 ⚫️ Email: dar24news@gmail.com ⚫️ Website: www.dar24.com ⚫️ Instagram: @Dar24Tz ⚫️ Facebook: @dar24news ⚫️ Twitter: @Dar24News #hajimanara #vunjabei #simbasc
MASHABIKI WA SOKA JIJINI DAR ES SALAAM WAMEFUNGUKA KWA MBWEMBWE KUELEKEA MCHEZO WA KIMATAIFA WA SIMBA SC. AZAM FC NA BIASHARA ZATAJWA! -- Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali. JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786 ⚫️ Email: dar24news@gmail.com ⚫️ Website: www.dar24.com ⚫️ Instagram: @Dar24Tz ⚫️ Facebook: @dar24news ⚫️ Twitter: @Dar24News #mzeempili #hajimanara #simbasc
Ushindi wa Simba umezifunika timu 10 vigogo vya soka barani Afrika. Timu hizo 10 licha ya uzoefu, uwekezaji mkubwa na ubora wa vikosi vyao zimeshindwa kufua dafu katika mechi hizo zilizochezwa mwishoni mwa wiki iliyopita na hivyo kutokuwa na matumaini makubwa kama zitatinga katika hatua ya makundi au la. Kati ya timu 13 ambazo zinapewa nafasi kubwa ya kutinga katika hatua ya makundi, ni tatu zilizoweza kupata matokeo mazuri ambayo yanaziweka katika nafasi nzuri ya kutinga hatua inayofuata kwani zimepata ushindi wa ugenini. Klabu tatu ambazo angalau zimeonyesha jeuri kama ya Simba ni Raja Casablanca ya Morocco na Zamalek ya Misri -- Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali. JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786 ⚫️ Email: dar24news@gmail.com ⚫️ Website: www.dar24.com ⚫️ Instagram: @Dar24Tz ⚫️ Facebook: @dar24news ⚫️ Twitter: @Dar24News #SIMBASC #ALAHLY #CAF
Kiungo Mshambuliaji kutoka nchini Ghana Bernard Morrison ameanza kuitia hofu Jwaneng Galaxy, kuelekea mchezo wa Mkondo wa Kwanza wa ligi ya Mabingwa Barani Afrika, hatua ya Kwanza utakaochezwa mwishoni mwa juma hili mjini Gaborone, Botswana. Simba SC itaanzia ugenini Oktoba 17, kisha itarejea nyumbani jijini Dar es salaam tayari kwa mchezo wa Mkondo wa pili uliopangwa kucheza Oktoba 22, Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es salaam. Jina la Morrison limetajwa na Kocha Mkuu wa Jwaneng Galaxy Morena Ramoreboli, kama mmoja wa wachezaji hatari wa Simba SC na anatakiwa kuchungwa sana kwenye michezo yote miwili. -- Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali. JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786 ⚫️ Email: dar24news@gmail.com ⚫️ Website: www.dar24.com ⚫️ Instagram: @Dar24Tz ⚫️ Facebook: @dar24news ⚫️ Twitter: @Dar24News #bernardmorrison#simbasc #hajimanara