Kumekucha, BURUNDI Watua BONGO, Wafunguka "HATUWAOGOPI TAIFA STARS" KIKOSI cha timu ya taifa ya Burundi kimewasili salama katika ardhi ya Tanzania kikitokea kwao Burundi. walipokuwa wamekwenda kucheza na Burundi katika mechi ya kutafuta tiketi ya kushiriki kombe la dunia... Kikosi hicho kinatarajia kuumana tena na timu ya Taifa ya Tanzania (TAIFA STARS) katika dimba la Taifa jijini Dar, Baada ya mchezo wa awali kumalizika kwa sare ya bao (1-1).. Mechi ya marudiano na Burundi inatarajiwa kuchezwa Jumapili ya Septemba 08, katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, #TanzaniaVSBurundi https://www.youtube.com/playlist?list... https://www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho
Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars MABINGWA watetezi, Simba SC wameanza vyema msimu mpya wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya JKT Tanzania Uwanja wa Uhuru mjini Dar es Salaam. Mshambuliaji wa kimataifa wa Rwanda, Meddi Kagere alikaribia kufunga hat trick katika mechi ya kwanza baada ya kufunga mabao mawili, huku lingine likifungwa na Miraj Athumani ‘Madenge’ aliyerejeshwa kikosini msimu huu. Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Simba SC: Aishi Manula, Haruna Shamte, Mohammed Hussein, Erasto Nyoni, Tairone Santos, Gerson Fraga, Deogratius Kanda/Miraj Athumani dk60, Muzamil Yassin, Meddie Kagere, Hassan Dilunga/Sharaf Shiboub dk71 na Clatous Chama/Ibrahim Ajibu dk78. Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/Kidanistars
Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Simba imeitwanga Coastal Union kwa mabao 8-1 katika mechi ya Ligi Kuu Bara iliyomalizika hivi punde kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam. Pamoja na ushindi wake mnono, washambuliaji wake wawili, Emmanuel Okwi na Meddy Kagere kila mmoja amefunga mabao matatu, yaani hat trick. Kwa mabao hayo, Kagere amefikisha mabao 20 msimu katika ligi kuu huku Okwi akifikisha 14 na kulingana na nahodha wa Simba, John Bocco aliyekuwa benchi katika mechi ya leo. Mabao mengine yalifungwa na Hassan Dilunga na Cleotus Chama raia wa Zambia na kuifanya Simba iandike ushindi huo mnono zaidi. Kwa ushindi wa leo, Simba imefikisha pointi 81 na kupaa kileleni ikiwaacha Yanga wenye pointi 80 waliokuwa wamekaa kileleni kwa muda mrefu zaidi. Yanga wamecheza 34 huku Simba wakiwa wamefikisha mechi 31 baada ya kucheza mechi yao ambayo wametoa kipigo kikali kwa Wagosi wa Kaya. Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/kidanistars
Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars #SIMBASC imelazimishwa sare ya 0-0 na Tout Puissant Mazembe katika mchezo wa kwanza wa Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika jioni ya leo Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam. Hata hivyo, Simba SC watajilaumu wenyewe kwa sare hiyo ya nyumbani, kwani walipoteza nafasi nzuri mno ya kuibuka na ushindi kipindi cha pili, kufuatia Nahodha wake, John Raphael Bocco kukosa penalti. #TPMAZEMBE Kwa matokeo hayo, Simba SC watalazimika kwenda kushinda ugenini kwenye mchezo wa marudiano Aprili 13 Uwanja wa Mazembe mjini Lubumbashi, au kutoa sare ya mabao ili wafuzu kwa mabao ya ugenini. Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/kidanistars
Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Dakika 90 zinakamilika hapa Kwa Mkapa. 90+3 Azam wanapata kona, Simba wanaanua, Mudathiri anaachia muwa unapaa mawinguni. 90+2 Rashid Juma ndani Chama nje. 90+1 Chama anapiga konaKagere anaotea. Dakika 90 zinakamilika zinaongezwa daika 4 89 Manula,Kagere, Mzamiru, Moris anaanua, Kotei,Zana , Dilunga, Chama,Dilunga, Chama, Zimbwe, Mzamiru Atta eneo la hatari 88 Ngoma amacheza faulo kwa Kotei. 84 Chirwa anadondoshwa chini na Zana wanapiga faulo Aggei anashikilia bega la Kagere kichwa kinazama ndani, mwamuzi haipeleki kati, Wawa anatolewa nje. 88 Ngoma amacheza faulo kwa Kotei. 84 Chirwa anadondoshwa chini na Zana wanapiga faulo Aggei anashikilia bega la Kagere kichwa kinazama ndani, mwamuzi haipeleki kati, Wawa anatolewa nje. 83 Domayo, Wawa anachezewa rafu na Chirwa. 80 Zimbwe, Kagere, Zimbwe, Mkude, Kotei,Ngoma anakunjua shuti anampa Domayo anazamisha majalo ya moto yanazama ndani na kurudi uwanjani mwamuzi anaweka kati. 79 Ngoma, Mudathir, Wadada, Sure boy Manula anaunyaka. 77, Yassin, Chama akampa Kagere akamalizia kwa mguu wa kulia kisha wanaenda kuutafuta mpira kwenye nyavu Kager, Zana 76 Zimbwe,Kagere, Chama, Kagere Abarola ananyakua, Wawa anamuachia Manula. 75 Dilunga anapoteza eneo la hatari. 74 Abarola, Mkude, Chama, Yasin, anadodondoshwa chini na Mudathiri anapewa kadi ya njano. 73 Mpira uaendelea, nafasi ya Okwi inachukuliwa na Mzamiru. 72 bado mpira umesimama Okwi anapewa huduma ya kwanza anabebwa kwenye machela na watu wa msalaba mwekundu. 64 Boca anacheza ujanja kwa Yakubu,Sure boy anachezewa faulo na Kotei, Sure boy. 62 Kagere Offside, Muda, NgiomaWawa anakaa vizuri Wawa anachezewa faulo na Chirwa. 61 Zana anamwaga maji mpira unaytolewa nje, Okwi,Wadaa anatoa nje. 60 Abarola anaanzisha mashambulizi 59 Moris, Chama, Yakub,Sure boy,, Kangwa,Abarola, Boco anachezewa rafu 58 Manula, Wawa, Yakubu anaanua 57 Kona, Okwi wanapoteza, Chirwa anapoteza. 56 Manula anaunyaka ukiwa nje ni kona, Okwi, Bukaba Zimbwe. 55 Kagere anapaisha mpira wa Zana 53, Abarola, Mahundi anarusha, Bukaba anatoa nje, Sure, Wadada, Ngoma, Chirwa inakuwa ndefu. 52, Bocco, Chama, Zimbwe, Bocco, Mudathir ,Bukaba, Chirwa chini. 51 Mkude, Zimbwe,Wawa, KangwaAtta, Wawaanampiga kiwiko Atta. 50 Zana,anaokoa kwa kutoa nje. 49 Okwi anacheza rau, Atta Zana 48, Ngoma anatoa nje, Bukaba, Kagere amekaa chini baada ya kupigwa na Mois. 47 Manula Sure boy, Wawa anatoa nje ManulaWadada. Manula 46 Zimbwe,Abarola, Moris, Manula. 45. Ngomaanapaisha mawinguni 45 Mabadiliko kwa Azam FC Kipindi cha pili Kutinyo nje Ngoma Singano nje Ennock Atta. Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/kidanistars
Timu Ya JS Soura Kutoka Nchini Algeria Imetua Nchini usiku wa kuamkia leo Kuwavaa Simba Katika Mchezo Wa Hatua Ya Makundi Kombe la Klabu Bingwa Barani Afrika. Simba inatarajiwa kucheza dhidi ya JS Saoura ya Algeria, kesho Jumamosi kwenye Uwanja wa Taifa Ikumbukwe Pia Timu Hiyo Anachezeza Mtanzania Thomas Ulimwengu Waliyemsajili Hivi Karibuni #SimbaSC ipo Kundi D katika michuano hiyo ikiwa na timu za As Vita Club ya DR Congo, Al Ahly ya Misri na JS Saoura. Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars/ Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars/ Twitter: https://twitter.com/kidanistars